Una maana Gani mkuu? Dadavua sentensi Yako kama hutojali, hii ni kwa manufaa ya Wana JFwenye akili za mavi wanajaribu kujiona wana fanana na vichuri .CCM bwana
Usimdharau usiemjua kwaundani mkuu, hata mbuyu ulianza kama mchicha, hii CHAUMMA itatutoa kimasomaso watanzaniaChaumma hii hii ? Awee hamna abadan keshokutwa tu patakuwa hapafai hata
Siyo kumdharau!! Hakuna mbuyu uliokua kama uyoga na ukadumu naangalia ukuaji wa ACT naona mbuyu ukikua ikiwa kwenye Uchaguzi huu hawatatomfoa tomfoa...ila Chaumma hapana nakataaUsimdharau usiemjua kwaundani mkuu, hata mbuyu ulianza kama mchicha, hii CHAUMMA itatutoa kimasomaso watanzania
Mkuu, CHAUMMA itasimika wagombea nchi nzima katika uchaguzi huu wa oktoba 2025 isitoshe watarusha chopa kutembelea wanachama, mashabiki na wapenzi waoSiyo kumdharau!! Hakuna mbuyu uliokua kama uyoga na ukadumu naangalia ukuaji wa ACT naona mbuyu ukikua ikiwa kwenye Uchaguzi huu hawatatomfoa tomfoa...ila Chaumma hapana nakataa
Hapa naona wanaharakati katika ubora wenu kutumia nembo na chapa ya CHAUMMA kukichafua chama
ππNicheke tu kwakweli hayo yote wanaweza wakafanya lakini unaelewa kabisa Siyo kuwanufaisha wao Bali wengineM
Mkuu, CHAUMMA itasimika wagombea nchi nzima katika uchaguzi huu wa oktoba 2025 isitoshe watarusha chopa kutembelea wanachama, mashabiki na wapenzi wao
Watu walijipambanua kama wapenda madaraka na nyanzifa wanaweza kujenga Taifa gani?Unataka watuandalie matapeli na walaghaiHabari wanajukwaa hili pendwa kabisa la Jamii forums/Jamii Afrika.
Siku zote taifa imara linajengwa na vijana imara na sio vijana wa ovyo ovyo! Mara kadhaa tumeshuhudia mifumo yetu ya kuandaa vijana imara kulitumikia taifa ikifeki kwa kuchezewa na watu wachache kwa masikahi Yao binafsi.
Hebu tuangaze mifumo uliopo katika vyama vyetu katika kuandaa vijana kuwa viongozi!
1.CCM: Huku wanapatikana vijana machawa wasioweza kutengeneza hoja zaidi ya kusifu na kuwaabudu viongozi hata pale wanapokosea. Vijana kama Hawa hawana mchango kwa taifa hivyo hawatufai tuwakatae
2.CHADEMA: CHADEMA kupitia BAVICHA iliyokuwa ikiongozwa na katambi ndio iliyokuwa imara, hii ya sasa ni wanaharakati watukana matusi viongozi wao, kupinga Kila kitu kinachofanywa Hawa hawatufai hata kidogo.
3.ACT: Huku Kuna vijana wafuata mkumbo wanaoamini maono ya zitto hata kama yupo njia potofu wanamini yupo sawa. Hawa nao hawatufai watakuja kuiuza nchi.
Tumaini pekee liliobaki kwa sasa ni CHAUMMA kuunda baraza la vijana imara kwaajili ya kuliongoza na kulitumikia taifa kwa miongo ijayo baada ya ndugu zaobkufeli.
Sasa tumtegemee nani mwingine mkuu? Au tumtarajie CHAUSTA? CHAUMMA at least Kuna mwanga wa sektetarieti ya mbowe imehamia kule itatumia uzoefu, maarifa, ushawishi na mbinu walizopata kwa mbowe katika kulitelekeza hili jamboππππππ chauma are you serious mkuu??
Habari wanajukwaa hili pendwa kabisa la Jamii forums/Jamii Afrika.
Siku zote taifa imara linajengwa na vijana imara na sio vijana wa ovyo ovyo! Mara kadhaa tumeshuhudia mifumo yetu ya kuandaa vijana imara kulitumikia taifa ikifeki kwa kuchezewa na watu wachache kwa masikahi Yao binafsi.
Hebu tuangaze mifumo uliopo katika vyama vyetu katika kuandaa vijana kuwa viongozi!
1.CCM: Huku wanapatikana vijana machawa wasioweza kutengeneza hoja zaidi ya kusifu na kuwaabudu viongozi hata pale wanapokosea. Vijana kama Hawa hawana mchango kwa taifa hivyo hawatufai tuwakatae
2.CHADEMA: CHADEMA kupitia BAVICHA iliyokuwa ikiongozwa na katambi ndio iliyokuwa imara, hii ya sasa ni wanaharakati watukana matusi viongozi wao, kupinga Kila kitu kinachofanywa Hawa hawatufai hata kidogo.
3.ACT: Huku Kuna vijana wafuata mkumbo wanaoamini maono ya zitto hata kama yupo njia potofu wanamini yupo sawa. Hawa nao hawatufai watakuja kuiuza nchi.
Tumaini pekee liliobaki kwa sasa ni CHAUMMA kuunda baraza la vijana imara kwaajili ya kuliongoza na kulitumikia taifa kwa miongo ijayo baada ya ndugu zaobkufeli.
Ndio, alifanikiwa kutengeneza baraza Bora kabisaUna maana bavicha iliyokuwa ikiongozwa na kipenyo?
Uchawa unakusumbua.Habari wanajukwaa hili pendwa kabisa la Jamii forums/Jamii Afrika.
Siku zote taifa imara linajengwa na vijana imara na sio vijana wa ovyo ovyo! Mara kadhaa tumeshuhudia mifumo yetu ya kuandaa vijana imara kulitumikia taifa ikifeki kwa kuchezewa na watu wachache kwa masikahi Yao binafsi.
Hebu tuangaze mifumo uliopo katika vyama vyetu katika kuandaa vijana kuwa viongozi!
1.CCM: Huku wanapatikana vijana machawa wasioweza kutengeneza hoja zaidi ya kusifu na kuwaabudu viongozi hata pale wanapokosea. Vijana kama Hawa hawana mchango kwa taifa hivyo hawatufai tuwakatae
2.CHADEMA: CHADEMA kupitia BAVICHA iliyokuwa ikiongozwa na katambi ndio iliyokuwa imara, hii ya sasa ni wanaharakati watukana matusi viongozi wao, kupinga Kila kitu kinachofanywa Hawa hawatufai hata kidogo.
3.ACT: Huku Kuna vijana wafuata mkumbo wanaoamini maono ya zitto hata kama yupo njia potofu wanamini yupo sawa. Hawa nao hawatufai watakuja kuiuza nchi.
Tumaini pekee liliobaki kwa sasa ni CHAUMMA kuunda baraza la vijana imara kwaajili ya kuliongoza na kulitumikia taifa kwa miongo ijayo baada ya ndugu zaobkufeli.
Upo sahihi kuhusu kujifunza kwa wengine, HEKO kwako mkuu, silaha kubwa ya mafanikio ni kujifunza kwa wengineMtoa mada amenikumbusha mtu anaitwa Dotto Rangimoto. Kipindi Cha 2014 alisumbua Sana hapa jukwaani kuhusu ACT, akawa anaipamba ACT na kuikanja CHADEMA. Sijui aliishiaga wapi. CHAUMMA ajifunze kwa ACT.
Tujikite kujadili mada/hoja mkuu. Au wewe ni zao la UVCCM?Uchawa unakusumbua.