CHAUMMA huu ni wakati wenu kuandaa Taifa Lijalo

Habari wanajukwaa hili pendwa kabisa la Jamii forums/Jamii Afrika.

Siku zote taifa imara linajengwa na vijana imara na sio vijana wa ovyo ovyo! Mara kadhaa tumeshuhudia mifumo yetu ya kuandaa vijana imara kulitumikia taifa ikifeki kwa kuchezewa na watu wachache kwa masikahi Yao binafsi.

Hebu tuangaze mifumo uliopo katika vyama vyetu katika kuandaa vijana kuwa viongozi!

1.CCM: Huku wanapatikana vijana machawa wasioweza kutengeneza hoja zaidi ya kusifu na kuwaabudu viongozi hata pale wanapokosea. Vijana kama Hawa hawana mchango kwa taifa hivyo hawatufai tuwakatae

2.CHADEMA: CHADEMA kupitia BAVICHA iliyokuwa ikiongozwa na katambi ndio iliyokuwa imara, hii ya sasa ni wanaharakati watukana matusi viongozi wao, kupinga Kila kitu kinachofanywa Hawa hawatufai hata kidogo.

3.ACT: Huku Kuna vijana wafuata mkumbo wanaoamini maono ya zitto hata kama yupo njia potofu wanamini yupo sawa. Hawa nao hawatufai watakuja kuiuza nchi.

Tumaini pekee liliobaki kwa sasa ni CHAUMMA kuunda baraza la vijana imara kwaajili ya kuliongoza na kulitumikia taifa kwa miongo ijayo baada ya ndugu zaobkufeli.
Mrema Ruzuku katika ubora wake!

HATUDANGANYIKI mpaka

#NoReformsNoElection
 
Chauma tupo na mama
IMG-20241007-WA0000.jpg
 
Yaani Salimu Mwalimu aandae taifa lijalo la Watanganyika mil 65?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kigaila? 🤣🤣🤣🤣
Mrema?🤣🤣🤣🤣
Ndio maana wakenya wanatudharau mpaka aibu .

CCM ilifikiria vizuri kabla ya "kujimilikisha" CHAUMA?
 
Back
Top Bottom