CHAUMMA imefanikiwa kisiasa kwa zaidi ya 100%

Chadema ma.fala sana

Wanajua fika kuwa hii ni nchi ya vyama.vingi...

Kutoshiriki wao uchaguzi na kususa wenzao watashiriki na nchi itaenda
 
Chawa, funza, kunguni, minyoo. ruba nk nk.
 
Wabunge mmepata jimbo gani na gani?
 
Kwani chauma zaidi ya kujiweka kama mbadala wa CHADEMA, ni kitu gani mnakisimamia, yani core purpose na vision yenu ni ipi

Maana at least mzee Rungwe alituambia umuhimu wa kilimo kupitia kampeni ya "ubwabwa".. Kwa sasa mnasimamia nini
 
Dah...siamini kama yule Yerico aliyekuwaga role model wangu miaka hiyo ambaye nilikuwaga namkubali sana humu jukwaani na nje ya jukwaa hili
Leo siamini kama ndiye huyu!
Nahisi kuna shida mahala aisee!
Uliwezaje?

Mimi enzi hizo nimejiunga humu, Yericko akaweka uzi wake “Huu ndio uchambuzi wa kijasusi kuhusu….” (sikumbuki mada ilikuwa nini)

Nikasoma uzi nikacomment “uko wapi uchambuzi wa kijasusi “? Aliniosha na matusi 🤣

Toka mwanzo niliona hamna kitu humu , Siku nyingine jipe muda kabla haujajudge uwezo wa akili wa mtu, Si unaona wakati umemuumbua Yericko?
 
Mafanikio ya asante kwa kusaidia wauwaji kuhalalisha uchaguzi haramu na wewe unajua ila unajibalaguza tu hapa. Hamkupata hata asilimia 1 ya kura zote, sheria inasema kupata wabunge wa viti maalum inaanzia asilimia 5 nyinyi hamkufikia hiyo, hao alina Devotha kupewa hivyo viti huoni ni asante?

Watu wa aina yenu wenye njaa na tamaa, wa kuangalia matumbo tu mtachelewesha sana ukombozi wa hii nchi kufikia demokrasia ya kweli.
 
Watanzania hatuna tamaduni ya kujisomea hivyo akitokea nanauka mmoja, akachimbua vitabu vya Robert Kiyosaki na kuviweka katika lugha rahisi ya mtaa. Ataitwa genius na kualikwa kila jukwaa kutoa business training hata kama hajawahi uza hata pipi
 
Dah...siamini kama yule Yerico aliyekuwaga role model wangu miaka hiyo ambaye nilikuwaga namkubali sana humu jukwaani na nje ya jukwaa hili
Leo siamini kama ndiye huyu!
Nahisi kuna shida mahala aisee!
Njaa mbaya sana hasa ukiiendekeza, huyu jamaa anatafuta kateuzi maana wameshaona hii serikali ili upate chochote usifie hata kama ni ujinga
 
Sasa si mkafungue matawi nchi nzima ili muonekane mnaungwa mkono na wananchi? Mjuba unaandika vichekesho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…