Takataka yote hii humu ya nini? Mtu apoteze muda kusoma uchafu toka kwa mtu asiyekuwa na mbele wala nyuma; asiyejuwa kuna ubinaadam zaidi ya kujaza tumbo?Na Yericko Nyerere
Sasa hapa unapambania uteuzi, juu ya damu ya waTanzania?
Takataka yote hii humu ya nini? Mtu apoteze muda kusoma uchafu toka kwa mtu asiyekuwa na mbele wala nyuma; asiyejuwa kuna ubinaadam zaidi ya kujaza tumbo?Na Yericko Nyerere
Wewe jamaa kumbe ni zero brain kweli kweli maelfu ya Watanganyika wameuwawa huliongelei hili unafurahia ruzuku, yaani wewe ni sawa na mwanamke malaya tu yuko tayari kuambukizwa ukimwi ili mradi alipwe pesa shame on you.Tuliingia katika uchaguzi huku tukijua wazi matatizo yaliyopo katika mfumo wa Uchaguzi nchini hasa Tume ya Uchaguzi, Tunajua mazingira ya kisiasa yalivyo magumu, Na Msimamo wetu kama Chamma tunaamini kuwa njia ya kupambana nayo ni meza ya Maridhiano/majadiliano tu, Katika hili tunaamini, tutajadilina nao huku tukifanya siasa za vyama kwakushiriki chaguzi zozote bila kujali tutashinda au laa. Na huo ndio utakuwa uhai wa Chama chetu na uhai wetu binafsi kisiasa.
Kwamsingi huo, @chaumma_tanzania kama chama cha siasa kimefanikiwa zaidi kisiasa kwakushiriki uchaguzi huu, Mimi Yericko Nyerere na wengine wote waliogombea Uchaguzi huu kwa ngazi yoyote kupitia Chaumma tumefanikiwa zaidi kisiasa, tumeweka alama muhimu kisiasa itakayodumu kwa miaka mitano mbele. Hii ndio tafsiri ya siasa za vyama!
Ndani ya Miezi mitatu, chama kilichokuwa kina sifuri, leo kina wabunge wa 3 na Madiwani zaidi ya 55 nchi nzima, Chama kimeenea nchi nzima. Chama kinajadiliwa usiku na mchana mitandaoni na nje ya mitandao, Chama kinajadiliwa mijiji na vijini. Hii ni hatua kubwa sana kwa chama cha siasa nchini.
Pamoja na kura za maruhani za maccm kutupatia kura za Rais laki mbili na ushee tu, lakini Kura za Wabunge na Madiwani zimekihakikishia Chama sasa kupata Ruzuku rasmi ambayo ndio msingi muhimu wa kujiendesha kwa Chama cha siasa nchini.
Sasa wanaukombozi wenzangu tuliogombea Ubunge na Udiwani, jukumu lililombele yetu ni kurejea mitaani kwenda kujenga chama tuanze kusimika uongozi kuanzia ngazi ya msingi, mitaa, kata, Wilaya na mikoa. Hadi angalau kufikia June 2026 tuwe tumesuka uongozi kuanzi ngazi zote.
Chaumma ndio chama mbadala rasmi, tujenge chama, tubadilishe aina ya siasa tuweke chini silaha zetu dhidi ya kule tulikotoka, tufungue milango tuwakaribishe wanachama wapya hasa wenzetu wanaonyanyaswa na dola huko waliko. Chaumma ni chama cha wote.
Na Yericko Nyerere
View attachment 3499563View attachment 3499564View attachment 3499565View attachment 3499566View attachment 3499567View attachment 3499569
Mkuu mbona makamanda povu linawatoka kama lote 🤔ujinga tu.
Yericko nilimjua ni tapeli tangu kitambo sana alipokuwa anauza vitabu alivyoandika vya copy and paste kwa bei za kufikirika.Watanzania hatuna tamaduni ya kujisomea hivyo akitokea nanauka mmoja, akachimbua vitabu vya Robert Kiyosaki na kuviweka katika lugha rahisi ya mtaa. Ataitwa genius na kualikwa kila jukwaa kutoa business training hata kama hajawahi uza hata pipi
Wewe ni mpuuziTuliingia katika uchaguzi huku tukijua wazi matatizo yaliyopo katika mfumo wa Uchaguzi nchini hasa Tume ya Uchaguzi, Tunajua mazingira ya kisiasa yalivyo magumu, Na Msimamo wetu kama Chamma tunaamini kuwa njia ya kupambana nayo ni meza ya Maridhiano/majadiliano tu, Katika hili tunaamini, tutajadilina nao huku tukifanya siasa za vyama kwakushiriki chaguzi zozote bila kujali tutashinda au laa. Na huo ndio utakuwa uhai wa Chama chetu na uhai wetu binafsi kisiasa.
Kwamsingi huo, @chaumma_tanzania kama chama cha siasa kimefanikiwa zaidi kisiasa kwakushiriki uchaguzi huu, Mimi Yericko Nyerere na wengine wote waliogombea Uchaguzi huu kwa ngazi yoyote kupitia Chaumma tumefanikiwa zaidi kisiasa, tumeweka alama muhimu kisiasa itakayodumu kwa miaka mitano mbele. Hii ndio tafsiri ya siasa za vyama!
Ndani ya Miezi mitatu, chama kilichokuwa kina sifuri, leo kina wabunge wa 3 na Madiwani zaidi ya 55 nchi nzima, Chama kimeenea nchi nzima. Chama kinajadiliwa usiku na mchana mitandaoni na nje ya mitandao, Chama kinajadiliwa mijiji na vijini. Hii ni hatua kubwa sana kwa chama cha siasa nchini.
Pamoja na kura za maruhani za maccm kutupatia kura za Rais laki mbili na ushee tu, lakini Kura za Wabunge na Madiwani zimekihakikishia Chama sasa kupata Ruzuku rasmi ambayo ndio msingi muhimu wa kujiendesha kwa Chama cha siasa nchini.
Sasa wanaukombozi wenzangu tuliogombea Ubunge na Udiwani, jukumu lililombele yetu ni kurejea mitaani kwenda kujenga chama tuanze kusimika uongozi kuanzia ngazi ya msingi, mitaa, kata, Wilaya na mikoa. Hadi angalau kufikia June 2026 tuwe tumesuka uongozi kuanzi ngazi zote.
Chaumma ndio chama mbadala rasmi, tujenge chama, tubadilishe aina ya siasa tuweke chini silaha zetu dhidi ya kule tulikotoka, tufungue milango tuwakaribishe wanachama wapya hasa wenzetu wanaonyanyaswa na dola huko waliko. Chaumma ni chama cha wote.
Na Yericko Nyerere
View attachment 3499563View attachment 3499564View attachment 3499565View attachment 3499566View attachment 3499567View attachment 3499569
Huyo tapeli jasusi uchwara alifanikiwa sana kuwadanganya watu kwa uchambuzi na vitabu vyake vya ujasusi uchwara.Uliwezaje?
Mimi enzi hizo nimejiunga humu, Yericko akaweka uzi wake “Huu ndio uchambuzi wa kijasusi kuhusu….” (sikumbuki mada ilikuwa nini)
Nikasoma uzi nikacomment “uko wapi uchambuzi wa kijasusi “? Aliniosha na matusi 🤣
Toka mwanzo niliona hamna kitu humu , Siku nyingine jipe muda kabla haujajudge uwezo wa akili wa mtu, Si unaona wakati umemuumbua Yericko?
Yericko umefilisika kisiasaTuliingia katika uchaguzi huku tukijua wazi matatizo yaliyopo katika mfumo wa Uchaguzi nchini hasa Tume ya Uchaguzi, Tunajua mazingira ya kisiasa yalivyo magumu, Na Msimamo wetu kama Chamma tunaamini kuwa njia ya kupambana nayo ni meza ya Maridhiano/majadiliano tu, Katika hili tunaamini, tutajadilina nao huku tukifanya siasa za vyama kwakushiriki chaguzi zozote bila kujali tutashinda au laa. Na huo ndio utakuwa uhai wa Chama chetu na uhai wetu binafsi kisiasa.
Kwamsingi huo, @chaumma_tanzania kama chama cha siasa kimefanikiwa zaidi kisiasa kwakushiriki uchaguzi huu, Mimi Yericko Nyerere na wengine wote waliogombea Uchaguzi huu kwa ngazi yoyote kupitia Chaumma tumefanikiwa zaidi kisiasa, tumeweka alama muhimu kisiasa itakayodumu kwa miaka mitano mbele. Hii ndio tafsiri ya siasa za vyama!
Ndani ya Miezi mitatu, chama kilichokuwa kina sifuri, leo kina wabunge wa 3 na Madiwani zaidi ya 55 nchi nzima, Chama kimeenea nchi nzima. Chama kinajadiliwa usiku na mchana mitandaoni na nje ya mitandao, Chama kinajadiliwa mijiji na vijini. Hii ni hatua kubwa sana kwa chama cha siasa nchini.
Pamoja na kura za maruhani za maccm kutupatia kura za Rais laki mbili na ushee tu, lakini Kura za Wabunge na Madiwani zimekihakikishia Chama sasa kupata Ruzuku rasmi ambayo ndio msingi muhimu wa kujiendesha kwa Chama cha siasa nchini.
Sasa wanaukombozi wenzangu tuliogombea Ubunge na Udiwani, jukumu lililombele yetu ni kurejea mitaani kwenda kujenga chama tuanze kusimika uongozi kuanzia ngazi ya msingi, mitaa, kata, Wilaya na mikoa. Hadi angalau kufikia June 2026 tuwe tumesuka uongozi kuanzi ngazi zote.
Chaumma ndio chama mbadala rasmi, tujenge chama, tubadilishe aina ya siasa tuweke chini silaha zetu dhidi ya kule tulikotoka, tufungue milango tuwakaribishe wanachama wapya hasa wenzetu wanaonyanyaswa na dola huko waliko. Chaumma ni chama cha wote.
Na Yericko Nyerere
View attachment 3499563View attachment 3499564View attachment 3499565View attachment 3499566View attachment 3499567View attachment 3499569
Project ya wapiga deal...Tuliingia katika uchaguzi huku tukijua wazi matatizo yaliyopo katika mfumo wa Uchaguzi nchini hasa Tume ya Uchaguzi, Tunajua mazingira ya kisiasa yalivyo magumu, Na Msimamo wetu kama Chamma tunaamini kuwa njia ya kupambana nayo ni meza ya Maridhiano/majadiliano tu, Katika hili tunaamini, tutajadilina nao huku tukifanya siasa za vyama kwakushiriki chaguzi zozote bila kujali tutashinda au laa. Na huo ndio utakuwa uhai wa Chama chetu na uhai wetu binafsi kisiasa.
Kwamsingi huo, @chaumma_tanzania kama chama cha siasa kimefanikiwa zaidi kisiasa kwakushiriki uchaguzi huu, Mimi Yericko Nyerere na wengine wote waliogombea Uchaguzi huu kwa ngazi yoyote kupitia Chaumma tumefanikiwa zaidi kisiasa, tumeweka alama muhimu kisiasa itakayodumu kwa miaka mitano mbele. Hii ndio tafsiri ya siasa za vyama!
Ndani ya Miezi mitatu, chama kilichokuwa kina sifuri, leo kina wabunge wa 3 na Madiwani zaidi ya 55 nchi nzima, Chama kimeenea nchi nzima. Chama kinajadiliwa usiku na mchana mitandaoni na nje ya mitandao, Chama kinajadiliwa mijiji na vijini. Hii ni hatua kubwa sana kwa chama cha siasa nchini.
Pamoja na kura za maruhani za maccm kutupatia kura za Rais laki mbili na ushee tu, lakini Kura za Wabunge na Madiwani zimekihakikishia Chama sasa kupata Ruzuku rasmi ambayo ndio msingi muhimu wa kujiendesha kwa Chama cha siasa nchini.
Sasa wanaukombozi wenzangu tuliogombea Ubunge na Udiwani, jukumu lililombele yetu ni kurejea mitaani kwenda kujenga chama tuanze kusimika uongozi kuanzia ngazi ya msingi, mitaa, kata, Wilaya na mikoa. Hadi angalau kufikia June 2026 tuwe tumesuka uongozi kuanzi ngazi zote.
Chaumma ndio chama mbadala rasmi, tujenge chama, tubadilishe aina ya siasa tuweke chini silaha zetu dhidi ya kule tulikotoka, tufungue milango tuwakaribishe wanachama wapya hasa wenzetu wanaonyanyaswa na dola huko waliko. Chaumma ni chama cha wote.
Na Yericko Nyerere
View attachment 3499563View attachment 3499564View attachment 3499565View attachment 3499566View attachment 3499567View attachment 3499569
Na lazima watafanya maana hawana tena la maana kwa wananchiHawa ndio wakafanye maridhiano na Samia
Ulikuwa na jina kubwa na heshima mitandaoni, Kwa Vijana na Wana mapinduzi. 'HERI JINA JEMA KULIKO MARIHAMU NZURI' wewe umechagua Shekeli badala ya jina.Tuliingia katika uchaguzi huku tukijua wazi matatizo yaliyopo katika mfumo wa Uchaguzi nchini hasa Tume ya Uchaguzi, Tunajua mazingira ya kisiasa yalivyo magumu, Na Msimamo wetu kama Chamma tunaamini kuwa njia ya kupambana nayo ni meza ya Maridhiano/majadiliano tu, Katika hili tunaamini, tutajadilina nao huku tukifanya siasa za vyama kwakushiriki chaguzi zozote bila kujali tutashinda au laa. Na huo ndio utakuwa uhai wa Chama chetu na uhai wetu binafsi kisiasa.
Kwamsingi huo, @chaumma_tanzania kama chama cha siasa kimefanikiwa zaidi kisiasa kwakushiriki uchaguzi huu, Mimi Yericko Nyerere na wengine wote waliogombea Uchaguzi huu kwa ngazi yoyote kupitia Chaumma tumefanikiwa zaidi kisiasa, tumeweka alama muhimu kisiasa itakayodumu kwa miaka mitano mbele. Hii ndio tafsiri ya siasa za vyama!
Ndani ya Miezi mitatu, chama kilichokuwa kina sifuri, leo kina wabunge wa 3 na Madiwani zaidi ya 55 nchi nzima, Chama kimeenea nchi nzima. Chama kinajadiliwa usiku na mchana mitandaoni na nje ya mitandao, Chama kinajadiliwa mijiji na vijini. Hii ni hatua kubwa sana kwa chama cha siasa nchini.
Pamoja na kura za maruhani za maccm kutupatia kura za Rais laki mbili na ushee tu, lakini Kura za Wabunge na Madiwani zimekihakikishia Chama sasa kupata Ruzuku rasmi ambayo ndio msingi muhimu wa kujiendesha kwa Chama cha siasa nchini.
Sasa wanaukombozi wenzangu tuliogombea Ubunge na Udiwani, jukumu lililombele yetu ni kurejea mitaani kwenda kujenga chama tuanze kusimika uongozi kuanzia ngazi ya msingi, mitaa, kata, Wilaya na mikoa. Hadi angalau kufikia June 2026 tuwe tumesuka uongozi kuanzi ngazi zote.
Chaumma ndio chama mbadala rasmi, tujenge chama, tubadilishe aina ya siasa tuweke chini silaha zetu dhidi ya kule tulikotoka, tufungue milango tuwakaribishe wanachama wapya hasa wenzetu wanaonyanyaswa na dola huko waliko. Chaumma ni chama cha wote.
Na Yericko Nyerere
View attachment 3499563View attachment 3499564View attachment 3499565View attachment 3499566View attachment 3499567View attachment 3499569
Huna akiliTuliingia katika uchaguzi huku tukijua wazi matatizo yaliyopo katika mfumo wa Uchaguzi nchini hasa Tume ya Uchaguzi, Tunajua mazingira ya kisiasa yalivyo magumu, Na Msimamo wetu kama Chamma tunaamini kuwa njia ya kupambana nayo ni meza ya Maridhiano/majadiliano tu, Katika hili tunaamini, tutajadilina nao huku tukifanya siasa za vyama kwakushiriki chaguzi zozote bila kujali tutashinda au laa. Na huo ndio utakuwa uhai wa Chama chetu na uhai wetu binafsi kisiasa.
Kwamsingi huo, @chaumma_tanzania kama chama cha siasa kimefanikiwa zaidi kisiasa kwakushiriki uchaguzi huu, Mimi Yericko Nyerere na wengine wote waliogombea Uchaguzi huu kwa ngazi yoyote kupitia Chaumma tumefanikiwa zaidi kisiasa, tumeweka alama muhimu kisiasa itakayodumu kwa miaka mitano mbele. Hii ndio tafsiri ya siasa za vyama!
Ndani ya Miezi mitatu, chama kilichokuwa kina sifuri, leo kina wabunge wa 3 na Madiwani zaidi ya 55 nchi nzima, Chama kimeenea nchi nzima. Chama kinajadiliwa usiku na mchana mitandaoni na nje ya mitandao, Chama kinajadiliwa mijiji na vijini. Hii ni hatua kubwa sana kwa chama cha siasa nchini.
Pamoja na kura za maruhani za maccm kutupatia kura za Rais laki mbili na ushee tu, lakini Kura za Wabunge na Madiwani zimekihakikishia Chama sasa kupata Ruzuku rasmi ambayo ndio msingi muhimu wa kujiendesha kwa Chama cha siasa nchini.
Sasa wanaukombozi wenzangu tuliogombea Ubunge na Udiwani, jukumu lililombele yetu ni kurejea mitaani kwenda kujenga chama tuanze kusimika uongozi kuanzia ngazi ya msingi, mitaa, kata, Wilaya na mikoa. Hadi angalau kufikia June 2026 tuwe tumesuka uongozi kuanzi ngazi zote.
Chaumma ndio chama mbadala rasmi, tujenge chama, tubadilishe aina ya siasa tuweke chini silaha zetu dhidi ya kule tulikotoka, tufungue milango tuwakaribishe wanachama wapya hasa wenzetu wanaonyanyaswa na dola huko waliko. Chaumma ni chama cha wote.
Na Yericko Nyerere
View attachment 3499563View attachment 3499564View attachment 3499565View attachment 3499566View attachment 3499567View attachment 3499569
Ila amejijengea brand, kupata tuzo za zikomo kila mwaka sio mchezoYericko nilimjua ni tapeli tangu kitambo sana alipokuwa anauza vitabu alivyoandika vya copy and paste kwa bei za kufikirika.