CHAUMMA imefanikiwa kisiasa kwa zaidi ya 100%

Tuliingia katika uchaguzi huku tukijua wazi matatizo yaliyopo katika mfumo wa Uchaguzi nchini hasa Tume ya Uchaguzi, Tunajua mazingira ya kisiasa yalivyo magumu, Na Msimamo wetu kama Chamma tunaamini kuwa njia ya kupambana nayo ni meza ya Maridhiano/majadiliano tu, Katika hili tunaamini, tutajadilina nao huku tukifanya siasa za vyama kwakushiriki chaguzi zozote bila kujali tutashinda au laa. Na huo ndio utakuwa uhai wa Chama chetu na uhai wetu binafsi kisiasa.

Kwamsingi huo, @chaumma_tanzania kama chama cha siasa kimefanikiwa zaidi kisiasa kwakushiriki uchaguzi huu, Mimi Yericko Nyerere na wengine wote waliogombea Uchaguzi huu kwa ngazi yoyote kupitia Chaumma tumefanikiwa zaidi kisiasa, tumeweka alama muhimu kisiasa itakayodumu kwa miaka mitano mbele. Hii ndio tafsiri ya siasa za vyama!

Ndani ya Miezi mitatu, chama kilichokuwa kina sifuri, leo kina wabunge wa 3 na Madiwani zaidi ya 55 nchi nzima, Chama kimeenea nchi nzima. Chama kinajadiliwa usiku na mchana mitandaoni na nje ya mitandao, Chama kinajadiliwa mijiji na vijini. Hii ni hatua kubwa sana kwa chama cha siasa nchini.

Pamoja na kura za maruhani za maccm kutupatia kura za Rais laki mbili na ushee tu, lakini Kura za Wabunge na Madiwani zimekihakikishia Chama sasa kupata Ruzuku rasmi ambayo ndio msingi muhimu wa kujiendesha kwa Chama cha siasa nchini.

Sasa wanaukombozi wenzangu tuliogombea Ubunge na Udiwani, jukumu lililombele yetu ni kurejea mitaani kwenda kujenga chama tuanze kusimika uongozi kuanzia ngazi ya msingi, mitaa, kata, Wilaya na mikoa. Hadi angalau kufikia June 2026 tuwe tumesuka uongozi kuanzi ngazi zote.

Chaumma ndio chama mbadala rasmi, tujenge chama, tubadilishe aina ya siasa tuweke chini silaha zetu dhidi ya kule tulikotoka, tufungue milango tuwakaribishe wanachama wapya hasa wenzetu wanaonyanyaswa na dola huko waliko. Chaumma ni chama cha wote.

Na Yericko Nyerere

View attachment 3499563View attachment 3499564View attachment 3499565View attachment 3499566View attachment 3499567View attachment 3499569
Jifariji, mafanikio ni ulichokuwa unakigombea ie Ubunge. Kama hukushinda, then all that rubbish you have written goes to the trush!
 
Usikute yule kijana anaewagawia hela kashamvunja marinda mana sio kawaida na yule bwana ana kashfa ya kuwabomoa nakubonolewa
 
Nafikiri hata Sultan Mbowe atakuwa ameshamlala huyu mpuuzi maana ana tamaa sana ya hela.
 
Watanzania hatuna tamaduni ya kujisomea hivyo akitokea nanauka mmoja, akachimbua vitabu vya Robert Kiyosaki na kuviweka katika lugha rahisi ya mtaa. Ataitwa genius na kualikwa kila jukwaa kutoa business training hata kama hajawahi uza hata pipi
Niache bana nina huzuni bado! 🤣
 
Tuliingia katika uchaguzi huku tukijua wazi matatizo yaliyopo katika mfumo wa Uchaguzi nchini hasa Tume ya Uchaguzi, Tunajua mazingira ya kisiasa yalivyo magumu, Na Msimamo wetu kama Chamma tunaamini kuwa njia ya kupambana nayo ni meza ya Maridhiano/majadiliano tu, Katika hili tunaamini, tutajadilina nao huku tukifanya siasa za vyama kwakushiriki chaguzi zozote bila kujali tutashinda au laa. Na huo ndio utakuwa uhai wa Chama chetu na uhai wetu binafsi kisiasa.

Kwamsingi huo, @chaumma_tanzania kama chama cha siasa kimefanikiwa zaidi kisiasa kwakushiriki uchaguzi huu, Mimi Yericko Nyerere na wengine wote waliogombea Uchaguzi huu kwa ngazi yoyote kupitia Chaumma tumefanikiwa zaidi kisiasa, tumeweka alama muhimu kisiasa itakayodumu kwa miaka mitano mbele. Hii ndio tafsiri ya siasa za vyama!

Ndani ya Miezi mitatu, chama kilichokuwa kina sifuri, leo kina wabunge wa 3 na Madiwani zaidi ya 55 nchi nzima, Chama kimeenea nchi nzima. Chama kinajadiliwa usiku na mchana mitandaoni na nje ya mitandao, Chama kinajadiliwa mijiji na vijini. Hii ni hatua kubwa sana kwa chama cha siasa nchini.

Pamoja na kura za maruhani za maccm kutupatia kura za Rais laki mbili na ushee tu, lakini Kura za Wabunge na Madiwani zimekihakikishia Chama sasa kupata Ruzuku rasmi ambayo ndio msingi muhimu wa kujiendesha kwa Chama cha siasa nchini.

Sasa wanaukombozi wenzangu tuliogombea Ubunge na Udiwani, jukumu lililombele yetu ni kurejea mitaani kwenda kujenga chama tuanze kusimika uongozi kuanzia ngazi ya msingi, mitaa, kata, Wilaya na mikoa. Hadi angalau kufikia June 2026 tuwe tumesuka uongozi kuanzi ngazi zote.

Chaumma ndio chama mbadala rasmi, tujenge chama, tubadilishe aina ya siasa tuweke chini silaha zetu dhidi ya kule tulikotoka, tufungue milango tuwakaribishe wanachama wapya hasa wenzetu wanaonyanyaswa na dola huko waliko. Chaumma ni chama cha wote.

Na Yericko Nyerere

View attachment 3499563View attachment 3499565View attachment 3499567View attachment 3499569
Wewe tumeshakugundua ujasusi ulionao ni wa tumbo lako sio Taifa

Nyerere alisema wanasiasa Malaya Malaya wako tayari kuuza utu wao Kwa ajili ya tumbo tu
 
Back
Top Bottom