CHAUMMA imefanikiwa kisiasa kwa zaidi ya 100%

Wewe jamaa kumbe ni zero brain kweli kweli maelfu ya Watanganyika wameuwawa huliongelei hili unafurahia ruzuku, yaani wewe ni sawa na mwanamke malaya tu yuko tayari kuambukizwa ukimwi ili mradi alipwe pesa shame on you.
 
Akaunti inatambulika na unafahamu forum ipo kwenye zuio na umeweza kupost.!?

Si tatizo kuwa hivyo kwa sisi wengine ila tofauti yake wewe ni kiongozi_na inathibitisha hufai, hata utii wa sheria ndogo huwezi
 
Watanzania hatuna tamaduni ya kujisomea hivyo akitokea nanauka mmoja, akachimbua vitabu vya Robert Kiyosaki na kuviweka katika lugha rahisi ya mtaa. Ataitwa genius na kualikwa kila jukwaa kutoa business training hata kama hajawahi uza hata pipi
Yericko nilimjua ni tapeli tangu kitambo sana alipokuwa anauza vitabu alivyoandika vya copy and paste kwa bei za kufikirika.
 
Wewe ni mpuuzi
 
Huyo tapeli jasusi uchwara alifanikiwa sana kuwadanganya watu kwa uchambuzi na vitabu vyake vya ujasusi uchwara.
 
Yericko umefilisika kisiasa
 
Project ya wapiga deal...
Bazee ba ruzuku na bahasha!
 
Huyu yeriko, kumbe ni mwendawazimu kiasi hiki!!
 
Ulikuwa na jina kubwa na heshima mitandaoni, Kwa Vijana na Wana mapinduzi. 'HERI JINA JEMA KULIKO MARIHAMU NZURI' wewe umechagua Shekeli badala ya jina.
 
Eti chama kinajadiliwa mijini na vijijini. Hata kama mnajadilwa, sio kwa uzuri. Ni kwa ubaya. Hata idd Amin Dada alikuwa akijadiliwa duniani kote lakini sio kwa mazuri.
Malengo yenu ilikuwa ni kupata ruzuku. Kama mmepata kura 200k afu mnapewa ruzuku hili nalo ni maajabu.
Muda sio mrefu mtazimika kama mshumaa.
 
Huna akili
 
Yericko nilimjua ni tapeli tangu kitambo sana alipokuwa anauza vitabu alivyoandika vya copy and paste kwa bei za kufikirika.
Ila amejijengea brand, kupata tuzo za zikomo kila mwaka sio mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…