Naunga mkono hoja...Mwaka huu lazima tuwagaragaze ccm saa nne asubuhi.
Mimi piaNaunga mkono hoja...
Huyu M/Kitiwa mda mrefu lakini asakamwi kama Mbowe...
Ngoja nikachukue fomu nigombee ubunge na mimi
Tuko nyuma yako
Alisema alishangaa kupata pole nyingi kuliko kura alizopata.Huyu ndio alisema,
Nilishinda Urais ika kura zangu waliiba,
Umejuaje kama waliiba?
Sehemu nilikopiga kura na nikajipigia mimi mwenyewe matokeo yalipotoka ilionekana nimepata kura 0.
Hivyo ikiwa hata kura yangu niliyojipigia mimi mwenyewe wameiiba ni ngapi watakuwa wameiba?
MATAGA
Hata mimi ana kura yangu.Huyu nitampa kura yangu