Makande 26
Senior Member
- Jul 23, 2019
- 113
- 97
Sijui ni kwanin ila mzee nakubali sana
Ana confidence level ya juu sana
Ana confidence level ya juu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
woyoo..woyoooo woyoooo
Huyu mzee huwa ananifurahisha sana
Tunashukuru mwenye maono wetu Hashimu Rungwe SpundaView attachment 1470671
Chama cha Upinzani cha CHAUMMA, kimetangaza rasmi kushiriki Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Mwenyekiti wake, Hashim Rungwe Spunda amesema wanavikaribisha vyama vingine kuungana nao wakati ambao CHAUMMA inaelekekea kuchukua dola.
Rungwe amesema, hivi karibuni Chaumma itatoa ratiba ya uchukuaji na urejeshaji fomu za wanachama wake watakaohitaji kugombea nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi huo.
Wakati huo huo, Rungwe amesema Chaumma imekamilisha kuandaa ilani yake ya uchaguzi na kwamba kiko katika mchakato wa kuiwasilisha katika Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa.
Aidha, Rungwe ameomba wananchi wenye mapenzi mema na chama hicho, kuchangia fedha kwa ajili ya kutekeleza shughuli za kampeni.
Hana madharaHuyu M/Kitiwa mda mrefu lakini asakamwi kama Mbowe...
Ngoja nikachukue fomu nigombee ubunge na mimi