Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Siwezi kuchangia chama tanzu cha CCM. Afadhali niinywee pombe tu hela yangu!Michango ya makada, viongozi na wadau mbalimbali ndiyo itakayogharamia uhai wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), huku chama hicho kikizindua Operesheni "Tujenge Pamoja #Tanzania"
Akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya chama, Kaimu Katibu Mkuu wa CHAUMMA, Benson Kigaila, amesema operesheni hiyo inalenga kukusanya maoni yatakayosaidia kufanyika kwa maboresho ya Katiba ya chama.
Kigaila amesema uamuzi wa kuendesha operesheni hiyo ulifikiwa katika kikao cha Halmashauri Kuu ya chama, ambapo ilikubaliwa kuwa fedha za utekelezaji wake zitakusanywa kupitia michango ya makada, viongozi na wadau mbalimbali wa CHAUMMA.
Pumbavu, hakuna kuchanga, watachota ccm na kujifanya wanachangisha,,,,,,,,,,,,,,,,,,tawi la ccm...vyama shikiziMichango ya makada, viongozi na wadau mbalimbali ndiyo itakayogharamia uhai wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), huku chama hicho kikizindua Operesheni "Tujenge Pamoja #Tanzania"
Akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya chama, Kaimu Katibu Mkuu wa CHAUMMA, Benson Kigaila, amesema operesheni hiyo inalenga kukusanya maoni yatakayosaidia kufanyika kwa maboresho ya Katiba ya chama.
Kigaila amesema uamuzi wa kuendesha operesheni hiyo ulifikiwa katika kikao cha Halmashauri Kuu ya chama, ambapo ilikubaliwa kuwa fedha za utekelezaji wake zitakusanywa kupitia michango ya makada, viongozi na wadau mbalimbali wa CHAUMMA.
tena waoze wanukewakafie mbele
CCM is at work. Subiri muone mchezo unaotaka kuchezwa. Watachangiwa fedha nyingi sana na CCM. Wakitaka kuuaminisha umma kuwa watu wanapenda CHAUMA kuliko CHADEMA. ndo maana michango ya mamilioni inaingiaWatapata sana michango maana CCM lazima wawachangie wadogo zao