Hawana hasara kwani pesa ya CCM hiyoKuanzisha chama cha siasa siyo sawa na kuanzisha Kikundi cha upatu cha kina mama

Hii nchi sasa ni kama kila mtu ni comedian, hakuna aliye serious 🤣Kwa hiyo wao bila helicopter hawanyi mkutano?😆😆😆
Madalali bwana😄
Nikianzisha chama nisifanye mkutano bila helikopta?Hata Mbowe bila Chopa hajawahi kupata nyomi
Ila Yule Tundu Lisu hata akienda kwa miguu bonge la nyomi dadeki 😂😂
Aisee chukua sukari robo hapo kwenye kiduka mtaani kwako ntalipa umepiga kwenye mshono ujue, au wewe ni Gwajima nini🤣🤣🤣Hayo ni maigizo wanajaribu kujifanya wanabalance ili ionekane CHAUMMA sio project ya CCM kwamba wanaweza nyimwa kibali kama CHADEMA .
Muda ni shahidi kibali watakuja kupewa hii ni stage managed.
Tunajua wamekwama wapi. Mbaya zaidi wamesalitiana na kuhujumiana wao kwa waoChama Cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA, kimeahirisha uzinduzi wa mkutano wake wa hadhara uliokuwa ufanyike Juni Mosi, 2025 baada kukukosa kibali cha helkopta kutua na uwanja wa kufanyia mkutano huo.
Hayo yamebainishwa na Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama hicho, Benson Kigaila wakati akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 29,2025 Jijini Mwanza.
Kigaila amesema awali walipanga tarehe ya mkutano wakitegemea kupata vibali hivyo mapema lakini hadi hivi sasa bado hawajafanikiwa kuvipata na hivyo kupanga kufanya mkutano huo Juni 3, 2025.
"Tulipofika Mwanza tumeona tusogeze siku mbele kwa sababu mbili, sababu ya kwanza mpaka leo hatujapata kibali cha helkopta, ukiwa hujapata kibali huwezi kuendelea na tarehe hiyo hiyo huku ziku za kutafuta kibali zinapungua kwa busara ya kawaida tumeona tusogeze siku mbele ili tuongeze juhudi ya kutafuta kibali, na uwanja wa kufanyia mkutano," amesema.
View attachment 3349801
Sio kwamba wamekosa kibali bali, upepo wa chama anzia juu shaka chini siku zote huwa Mgumu, Ni marehema mzee Seif aliweza hili maana yule mzee alikua taasisi inayotembea ,Chama Cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA, kimeahirisha uzinduzi wa mkutano wake wa hadhara uliokuwa ufanyike Juni Mosi, 2025 baada kukukosa kibali cha helkopta kutua na uwanja wa kufanyia mkutano huo.
Hayo yamebainishwa na Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama hicho, Benson Kigaila wakati akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 29,2025 Jijini Mwanza.
Kigaila amesema awali walipanga tarehe ya mkutano wakitegemea kupata vibali hivyo mapema lakini hadi hivi sasa bado hawajafanikiwa kuvipata na hivyo kupanga kufanya mkutano huo Juni 3, 2025.
"Tulipofika Mwanza tumeona tusogeze siku mbele kwa sababu mbili, sababu ya kwanza mpaka leo hatujapata kibali cha helkopta, ukiwa hujapata kibali huwezi kuendelea na tarehe hiyo hiyo huku ziku za kutafuta kibali zinapungua kwa busara ya kawaida tumeona tusogeze siku mbele ili tuongeze juhudi ya kutafuta kibali, na uwanja wa kufanyia mkutano," amesema.
View attachment 3349801
Hicho chama hakijaanzishwa leo ngedere weweKuanzisha chama cha siasa siyo sawa na kuanzisha Kikundi cha upatu cha kina mama
Itakuwa good riddance🤭
Wamekosa kibali..!?..au watu..!?Chama Cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA, kimeahirisha uzinduzi wa mkutano wake wa hadhara uliokuwa ufanyike Juni Mosi, 2025 baada kukukosa kibali cha helkopta kutua na uwanja wa kufanyia mkutano huo.
Hayo yamebainishwa na Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama hicho, Benson Kigaila wakati akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 29,2025 Jijini Mwanza.
Kigaila amesema awali walipanga tarehe ya mkutano wakitegemea kupata vibali hivyo mapema lakini hadi hivi sasa bado hawajafanikiwa kuvipata na hivyo kupanga kufanya mkutano huo Juni 3, 2025.
"Tulipofika Mwanza tumeona tusogeze siku mbele kwa sababu mbili, sababu ya kwanza mpaka leo hatujapata kibali cha helkopta, ukiwa hujapata kibali huwezi kuendelea na tarehe hiyo hiyo huku ziku za kutafuta kibali zinapungua kwa busara ya kawaida tumeona tusogeze siku mbele ili tuongeze juhudi ya kutafuta kibali, na uwanja wa kufanyia mkutano," amesema.
View attachment 3349801
Chama Cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA, kimeahirisha uzinduzi wa mkutano wake wa hadhara uliokuwa ufanyike Juni Mosi, 2025 baada kukukosa kibali cha helkopta kutua na uwanja wa kufanyia mkutano huo.
Hayo yamebainishwa na Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama hicho, Benson Kigaila wakati akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 29,2025 Jijini Mwanza.
Kigaila amesema awali walipanga tarehe ya mkutano wakitegemea kupata vibali hivyo mapema lakini hadi hivi sasa bado hawajafanikiwa kuvipata na hivyo kupanga kufanya mkutano huo Juni 3, 2025.
"Tulipofika Mwanza tumeona tusogeze siku mbele kwa sababu mbili, sababu ya kwanza mpaka leo hatujapata kibali cha helkopta, ukiwa hujapata kibali huwezi kuendelea na tarehe hiyo hiyo huku ziku za kutafuta kibali zinapungua kwa busara ya kawaida tumeona tusogeze siku mbele ili tuongeze juhudi ya kutafuta kibali, na uwanja wa kufanyia mkutano," amesema.
View attachment 3349801
Afu watanganyika tustuke, hawa wahuni hata mia mifukoni mwao walikuwa hawana nani kawawezesha haya mahela yote?Chama Cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA, kimeahirisha uzinduzi wa mkutano wake wa hadhara uliokuwa ufanyike Juni Mosi, 2025 baada kukukosa kibali cha helkopta kutua na uwanja wa kufanyia mkutano huo.
Hayo yamebainishwa na Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama hicho, Benson Kigaila wakati akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 29,2025 Jijini Mwanza.
Kigaila amesema awali walipanga tarehe ya mkutano wakitegemea kupata vibali hivyo mapema lakini hadi hivi sasa bado hawajafanikiwa kuvipata na hivyo kupanga kufanya mkutano huo Juni 3, 2025.
"Tulipofika Mwanza tumeona tusogeze siku mbele kwa sababu mbili, sababu ya kwanza mpaka leo hatujapata kibali cha helkopta, ukiwa hujapata kibali huwezi kuendelea na tarehe hiyo hiyo huku ziku za kutafuta kibali zinapungua kwa busara ya kawaida tumeona tusogeze siku mbele ili tuongeze juhudi ya kutafuta kibali, na uwanja wa kufanyia mkutano," amesema.
View attachment 3349801
Washenzi nyie mlituulia Filikunjombe na hayo machopa yenu.Hata Mbowe bila Chopa hajawahi kupata nyomi
Ila Yule Tundu Lisu hata akienda kwa miguu bonge la nyomi dadeki 😂😂
Chadomo hawalali, yaani hawa malofa hata tone tone hawajaomba wanakwenda kwa chopa kweli?Roho ya KUKATAWIWA imeshaa
Afu watanganyika tustuke, hawa wahuni hata mia mifukoni mwao walikuwa hawana nani kawawezesha haya mahela yote?
Kama huyu jamaa ni njaa kali, ana tuhuma za kuiba muhuri wa Katibu Mkuu Mnyika akagonga akafoji sahihi ili MKEWE na yule MKE wa Salumu Mwalimu waingie bungeni kama maCOVID - 19.
Hawa ni wa kukataa kama ukoma.
Ingeku chakandumuz hapa ….. wangeshakimbilia Kwa Martha karua aje amtukane rais Kwa kukosa kibaliChama Cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA, kimeahirisha uzinduzi wa mkutano wake wa hadhara uliokuwa ufanyike Juni Mosi, 2025 baada kukukosa kibali cha helkopta kutua na uwanja wa kufanyia mkutano huo.