Chama cha Msajili na watawala hicho - watakataliwa popote waendako..gundu litawasakama balaa.Chadomo hawalali, yaani hawa malofa hata tone tone hawajaomba wanakwenda kwa chopa kweli?
Eti chopa kupinga no Reforms -ni akili au minyoo.
Chama cha Msajili na watawala hicho - watakataliwa popote waendako..gundu litawasakama balaa.Chadomo hawalali, yaani hawa malofa hata tone tone hawajaomba wanakwenda kwa chopa kweli?
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣CCM wanatufanyia figisu ila hawatuwezi, sisi ndio wapinzani halisi, tutawaonyesha
Walio serious ni CHADEMA mpya pekee. Wengine wote hamna kitu. Mara maroboti, sijui yanawasaidia nini watu ambao hawana maji na mahospitalini hakuna madawa.Hii nchi sasa ni kama kila mtu ni comedian, hakuna aliye serious 🤣
kuhusu kupendwa na wananchi mkuu kwa sasa ni LissuHata Mbowe bila Chopa hajawahi kupata nyomi
Ila Yule Tundu Lisu hata akienda kwa miguu bonge la nyomi dadeki 😂😂
Nimecheka sanaKwa hiyo wao bila helicopter hawanyi mkutano?😆😆😆
Madalali bwana😄
Chauma hata akienda Mbowe hawezi kua na ushawishi ndo ataonekana tapeli atakua kama Lipumba hata Gwajima pia akienda CHAUMMA atafeli kabla hajafika Wananchi sasa hivi wameenda wanaelewa siasa za BongoSio kwamba wamekosa kibali bali, upepo wa chama anzia juu shaka chini siku zote huwa Mgumu, Ni marehema mzee Seif aliweza hili maana yule mzee alikua taasisi inayotembea ,
Wamiliki wako kwenye mkutano wao mkuu wakimaliza kibali kitapatikana.Hao wanajitekenya na kucheka wenyewe,
Wamiliki wa CHAUMA ambao ni ccm hawashindwi kuwapa kibali
Poor excuses.. Wanasoma upepo kwanzaChama Cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA, kimeahirisha uzinduzi wa mkutano wake wa hadhara uliokuwa ufanyike Juni Mosi, 2025 baada kukukosa kibali cha helkopta kutua na uwanja wa kufanyia mkutano huo.
Hayo yamebainishwa na Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama hicho, Benson Kigaila wakati akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 29,2025 Jijini Mwanza.
Kigaila amesema awali walipanga tarehe ya mkutano wakitegemea kupata vibali hivyo mapema lakini hadi hivi sasa bado hawajafanikiwa kuvipata na hivyo kupanga kufanya mkutano huo Juni 3, 2025.
"Tulipofika Mwanza tumeona tusogeze siku mbele kwa sababu mbili, sababu ya kwanza mpaka leo hatujapata kibali cha helkopta, ukiwa hujapata kibali huwezi kuendelea na tarehe hiyo hiyo huku ziku za kutafuta kibali zinapungua kwa busara ya kawaida tumeona tusogeze siku mbele ili tuongeze juhudi ya kutafuta kibali, na uwanja wa kufanyia mkutano," amesema.
View attachment 3349801
Mwasisi wa matumizi ya chopa ndiye huyo huyo yuko Chaumma.Hiyo chopa itambeba nani? Bila chopa hawezi kufika Mwanza na kwa nini asitumie ATCL? Na je chopa ni sehemu ya sera za Chaumma?
Serikali imefanya mchezo wa kiini macho kwa makusudi ili kuwazuga ili kelele za chama pacha wao nacho kinazingirwa.Chama Cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA, kimeahirisha uzinduzi wa mkutano wake wa hadhara uliokuwa ufanyike Juni Mosi, 2025 baada kukukosa kibali cha helkopta kutua na uwanja wa kufanyia mkutano huo.
Hayo yamebainishwa na Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama hicho, Benson Kigaila wakati akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 29,2025 Jijini Mwanza.
Kigaila amesema awali walipanga tarehe ya mkutano wakitegemea kupata vibali hivyo mapema lakini hadi hivi sasa bado hawajafanikiwa kuvipata na hivyo kupanga kufanya mkutano huo Juni 3, 2025.
"Tulipofika Mwanza tumeona tusogeze siku mbele kwa sababu mbili, sababu ya kwanza mpaka leo hatujapata kibali cha helkopta, ukiwa hujapata kibali huwezi kuendelea na tarehe hiyo hiyo huku ziku za kutafuta kibali zinapungua kwa busara ya kawaida tumeona tusogeze siku mbele ili tuongeze juhudi ya kutafuta kibali, na uwanja wa kufanyia mkutano," amesema.
View attachment 3349801
mna wivu sana na ChaummaMwanza mmetuona washamba wa kujaza uwanja wenu kushangaa hiyo helkopta. Hatujiiiii! Hivi Kigaila ni mgogo wa Dodoma?
kipindi wapo chadema chopper zilikua safi ndio habari ya mjiniHiyo chopa itambeba nani? Bila chopa hawezi kufika Mwanza na kwa nini asitumie ATCL? Na je chopa ni sehemu ya sera za Chaumma?
mnafeli sana kudhani chaumma kipo hapa kupambana na chademaChama cha Msajili na watawala hicho - watakataliwa popote waendako..gundu litawasakama balaa.
Eti chopa kupinga no Reforms -ni akili au minyoo.
Acha pombeHata Mbowe bila Chopa hajawahi kupata nyomi
Ila Yule Tundu Lisu hata akienda kwa miguu bonge la nyomi dadeki 😂😂
Yule mzee wafuasi wake walikua wana uwezo wa kuwa wanachama wa chama hata wasichokijua hata jina kikubwa tu mzee awe ni mwanachama wa hicho chama... alivyohama tu Cuf nao walihama siku hiyo hiyo... Mzee alikufa akiwa ACT wazalendo, wafuasi wake wamebaki huko huko mzee alikowaacha...Sio kwamba wamekosa kibali bali, upepo wa chama anzia juu shaka chini siku zote huwa Mgumu, Ni marehema mzee Seif aliweza hili maana yule mzee alikua taasisi inayotembea ,
Wamekwepa aibu ya kukosa watu.Chama Cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA, kimeahirisha uzinduzi wa mkutano wake wa hadhara uliokuwa ufanyike Juni Mosi, 2025 baada kukukosa kibali cha helkopta kutua na uwanja wa kufanyia mkutano huo.