PreGE2025 CHAUMMA wakosa kibali cha helikopta kutua Mwanza, Mikutano yakwama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
nani yuko nyuma yao nimeona magari yao mwanza land crusser top body double cabin.. za kutosha
 
Hayo ni maigizo wanajaribu kujifanya wanabalance ili ionekane CHAUMMA sio project ya CCM kwamba wanaweza nyimwa kibali kama CHADEMA .

Muda ni shahidi kibali watakuja kupewa hii ni stage managed.
Aisee chukua sukari robo hapo kwenye kiduka mtaani kwako ntalipa umepiga kwenye mshono ujue, au wewe ni Gwajima nini🤣🤣🤣
 
Tunajua wamekwama wapi. Mbaya zaidi wamesalitiana na kuhujumiana wao kwa wao
 
CCM wanatufanyia figisu ila hawatuwezi, sisi ndio wapinzani halisi, tutawaonyesha
 
Msajili akisikia hili jambo watu wa anga wajiandaè kwa kesi na kufukuzwa kazi. Chopa ya CHAUMA unaikatalia kutua wewe ni nani katika nchi hii.
 
Sio kwamba wamekosa kibali bali, upepo wa chama anzia juu shaka chini siku zote huwa Mgumu, Ni marehema mzee Seif aliweza hili maana yule mzee alikua taasisi inayotembea ,
 
Wamekosa kibali..!?..au watu..!?
 
Roho ya KUKATAWIWA imeshaa
Afu watanganyika tustuke, hawa wahuni hata mia mifukoni mwao walikuwa hawana nani kawawezesha haya mahela yote?

Kama huyu jamaa ni njaa kali, ana tuhuma za kuiba muhuri wa Katibu Mkuu Mnyika akagonga akafoji sahihi ili MKEWE na yule MKE wa Salumu Mwalimu waingie bungeni kama maCOVID - 19.

Hawa ni wa kukataa kama ukoma.
 
Waliojiunga na CHAUMA wamemeza bait, hook together with sinker.
Hawakujua kwamba ukishaolewa sahau vijizawadi na kuitwa darling.
 
Chadomo hawalali, yaani hawa malofa hata tone tone hawajaomba wanakwenda kwa chopa kweli?
 
Ingeku chakandumuz hapa ….. wangeshakimbilia Kwa Martha karua aje amtukane rais Kwa kukosa kibali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…