Jana tarehe 16/7/2025 kulifanyika mkutano wa siasa wa chama cha CHAUMA hapa mjini Songea.
Mkutano huo ulitanguliwa na matangazo ya Kila Kona ya manispaa ya songea yakifanyika kwenye magari mawili yenye vifaa vya utangazaji tarehe 15 /7 kutwa nzima.
Matokeo ya matangazo hayo na juhudi hizo zote ni kutoitikiwa na watanzania kwenye MKUTANO WAO huo ambao mgeni rasmi alikuwa Salum mwalimu.
Du, watajibeba na tamaa zaoJana tarehe 16/7/2025 kulifanyika mkutano wa siasa wa chama cha CHAUMA hapa mjini Songea.
Mkutano huo ulitanguliwa na matangazo ya Kila Kona ya manispaa ya songea yakifanyika kwenye magari mawili yenye vifaa vya utangazaji tarehe 15 /7 kutwa nzima.
Matokeo ya matangazo hayo na juhudi hizo zote ni kutoitikiwa na watanzania kwenye MKUTANO WAO huo ambao mgeni rasmi alikuwa Salum mwalimu.
Spunda au mstaafu ?Mwenyekiti wao yuko Dodoma 😂
picha, the expectedJana tarehe 16/7/2025 kulifanyika mkutano wa siasa wa chama cha CHAUMA hapa mjini Songea.
Mkutano huo ulitanguliwa na matangazo ya Kila Kona ya manispaa ya songea yakifanyika kwenye magari mawili yenye vifaa vya utangazaji tarehe 15 /7 kutwa nzima.
Matokeo ya matangazo hayo na juhudi hizo zote ni kutoitikiwa na watanzania kwenye MKUTANO WAO huo ambao mgeni rasmi alikuwa Salum mwalimu.
Msimu wamavuno huu watu wako shamba wanasiasa ni washambaWaende ndugu zao CCM
MstaafuSpunda au mstaafu ?
Siyo mbaya,wataanza kuwapata wakiwa na Mwenyekiti wao mpya ambaye Leo ameanza kazi rasmi kwa kuhudhuria uzinduzi wa dira ya taifa.Jana tarehe 16/7/2025 kulifanyika mkutano wa siasa wa chama cha CHAUMA hapa mjini Songea.
Mkutano huo ulitanguliwa na matangazo ya Kila Kona ya manispaa ya songea yakifanyika kwenye magari mawili yenye vifaa vya utangazaji tarehe 15 /7 kutwa nzima.
Matokeo ya matangazo hayo na juhudi hizo zote ni kutoitikiwa na watanzania kwenye MKUTANO WAO huo ambao mgeni rasmi alikuwa Salum mwalimu.
Tabata na vingunguti walikuwa wanagawa hela kwa bodaboda na matishirt yaliyoandikwa ulipo tupo nahisi mzigo umekataJana tarehe 16/7/2025 kulifanyika mkutano wa siasa wa chama cha CHAUMA hapa mjini Songea.