CHAUMMA ni aheri wangekuwa wanaunganisha mikutano yao na ya CCM. CCM wana uhakika wa kupata watu kupitia wakurugenzi na kuwakodia watu toka vijijini. Kwenye mikutano ya CCM, baada ya kumaliza CCM, kwenye tukio hilo hilo wangekuwa wanawaachia CHAUMMA nao wahutubie k8dogo.
La sivyo CHAUMMA watakuwa wanazunguka tu, bila kuwapata watu wa kuwasikil8za. Wananchi wanajua kuwa CHAUMMA ni jumuia ya CCM. Inakuwa shida kwao, wahudhurie mkutano wa CCM, halafu waende tena wakasikilizi mkutano wa jumuia ya chama.