Duuh huko tenaa, ndo maana hata haijasikika kabisaa.Wamefanya mkutano kata ya RUVUMA kiwanja Cha black pale mbulani
😂😂😂😂😂Waende idara ya maliasili wakaombe kibali cha kutumia fisi kwenye mikutano yao.
Watu wamewashitukia kabisaWanawasaidia kumnyamazisha lisu,na kuzuwia wasifanye mikutano