CHAUMMA wakosa watu kwenye mkutano wao Songea

Naona sasa hivi wanatafuta muunganiko na ACT Wazalendo. Ila kiukweli kwa Sasa mahudhurio ya Mikutano ni mdogo Sana. Hata ACT walihangaika kupata watu Mtwara kwenye ngome yao.
ACT hawana ngome Wana majimbo matatu wanayopata watu Tunduru kusini, Kigoma mjini na uwanja wa Gombani pemba
 
Mbowe amewatosa vijana wake yeye yuko beneti na mwenyekiti wa CCM kula mema ya nchi.
 
Wao wanakosea kuhangaika kutaka kufanya mikutano. Busara wasubiri viti maalumu walivyoahidiwa na CCm
 
Chauma ubwabwa ni chawaccm ni chama cha hovyo sana mda wote wanawaza kuhongwa na ibitisi wa ccm, Buzi wao ccm kaanza kusanuka huenda akaacha kutoa pesa baada ya kugundua Mbowe aliwauzia magalasa G55
 
Nani kawadanganya wakaacha kufanya mkutano wa ndani. NRNE.
 
Gwajima aliwapotezea kwenye hotuba yake kama vile ACT na CHAUMA hawapo kabisa.
Alisema CCM wakigombea bila Chadema ni sawa na Simba kucheza bila Yanga.
Kwamba watakuwa wanacheza na kushangilia goli walilojifunga wenyewe.
Gwaji boy ana akili sn
 
Kwani sisiemu walikuwepo wapi wasiende kwenye ubwabwa?
 
CCM wanafik sana

Sasa walipowadanganya hao mazuzu, hawakukubaliana suala la kusomba watu kuwapelekea kwenye mikutano yao?
 
Waende idara ya maliasili wakaombe kibali cha kutumia fisi kwenye mikutano yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…