Duuh huko tenaa, ndo maana hata haijasikika kabisaa.Wamefanya mkutano kata ya RUVUMA kiwanja Cha black pale mbulani
πππππWaende idara ya maliasili wakaombe kibali cha kutumia fisi kwenye mikutano yao.
Watu wamewashitukia kabisaWanawasaidia kumnyamazisha lisu,na kuzuwia wasifanye mikutano