GE2025 CHAUMMA: Yaahidi kuwashughulikia walioua viwanda, kuondoa kodi kwenye dawa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Devota Minja ameahidi kwamba Serikali ya chama hicho ikichaguliwa itaanza kwa kuondoa kodi zote zinazotozwa kwenye dawa ili wananchi wapate huduma za afya kwa gharama nafuu huku ikisema itawashughulikia waliouwa viwanda katika mkoa wa Morogoro.

Akisisitiza kuwa hatua hiyo itawawezesha Watanzania kupata dawa kwa bei nafuu na kuendelea na shughuli za uzalishaji bila kudhoofishwa na gharama kubwa za matibabu.

Minja amebainisha hayo leo Jumatano Septemba 03, 2025 akiwa Morogoro mjini kwenye kampeni za kunadi sera za chama chake ili Watanzania waweze kukichagua chama hicho kiunde Serikali baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29 mwaka huu.

"Tutaanzisha duka maalumu la dawa la hati punguzo, ambapo wagonjwa watakaolazwa na kukosa fedha za haraka watakopeshwa dawa, watibiwe na kurejea nyumbani baadaye wakipata fedha watalipa ili wengine nao wapate matibabu," amesema Minja.

Mbali na sekta ya afya, Minja ameeleza dhamira ya Chaumma kufufua viwanda vilivyokufa, hususan katika Mkoa wa Morogoro, ambako viwanda vingi vimekufa na kusababisha maelfu ya wananchi kukosa ajira.

Akisisitiza kuwa Serikali ya Chaumma haitapepesa macho kwa waliohujumu viwanda hivyo kwa maslahi binafsi na kuhakikisha kuwa sekta hiyo inakuwa kichocheo cha ajira na maendeleo.

"Hatutapepesa macho kwa walioviuwa viwanda. Serikali yetu itarudisha viwanda hivyo ili kuimarisha ajira na kupunguza ugumu wa maisha unaowakabili Watanzania hasa vijana, wakina mama" amesema Minja.
 
Ogopa matapeli. Mbona hakuna eneo wa wahudhuriaji au ni Zoom meeting?
 
Chauma niwapeni sera,ufisadi mtaufanyaje,wizi na ufisadi mtaufanyaje,uhuru wa habari mtaufanyaje,ofisi ya msajili mtaifanyaje,mahakama mtaifanyaje,kilimo mtafanya nini ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka mtafanyaje,uchumi,matumizi mabovu ya madaraka,utekaji na watekwaji ntafanyaje,waliopotezwa mtafanyaje, mambo chungu mbovu
 
Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Devota Minja ameahidi kwamba Serikali ya chama hicho ikichaguliwa itaanza kwa kuondoa kodi zote zinazotozwa kwenye dawa ili wananchi wapate huduma za afya kwa gharama nafuu huku ikisema itawashughulikia waliouwa viwanda katika mkoa wa Morogoro.

Akisisitiza kuwa hatua hiyo itawawezesha Watanzania kupata dawa kwa bei nafuu na kuendelea na shughuli za uzalishaji bila kudhoofishwa na gharama kubwa za matibabu.

Minja amebainisha hayo leo Jumatano Septemba 03, 2025 akiwa Morogoro mjini kwenye kampeni za kunadi sera za chama chake ili Watanzania waweze kukichagua chama hicho kiunde Serikali baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29 mwaka huu.

"Tutaanzisha duka maalumu la dawa la hati punguzo, ambapo wagonjwa watakaolazwa na kukosa fedha za haraka watakopeshwa dawa, watibiwe na kurejea nyumbani baadaye wakipata fedha watalipa ili wengine nao wapate matibabu," amesema Minja.

Mbali na sekta ya afya, Minja ameeleza dhamira ya Chaumma kufufua viwanda vilivyokufa, hususan katika Mkoa wa Morogoro, ambako viwanda vingi vimekufa na kusababisha maelfu ya wananchi kukosa ajira.

Akisisitiza kuwa Serikali ya Chaumma haitapepesa macho kwa waliohujumu viwanda hivyo kwa maslahi binafsi na kuhakikisha kuwa sekta hiyo inakuwa kichocheo cha ajira na maendeleo.

"Hatutapepesa macho kwa walioviuwa viwanda. Serikali yetu itarudisha viwanda hivyo ili kuimarisha ajira na kupunguza ugumu wa maisha unaowakabili Watanzania hasa vijana, wakina mama" amesema Minja.
Atuondolee ujinga wake hapa.
 
Minja kwanza aende kulisiti mitihani wa kidato cha nne apunguze kelele mtu kashidwa kufaulu kidato cha nne ndo ataweza kurudisha viwanda kwa akili gani kama alichokua wanafundishwa darasani kafeli
 
Back
Top Bottom