PreGE2025 CHAUMMA yawateua Mrema, Ruge kuwa Wakurugenzi wa Habari na Uchumi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Kamati Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) imefanya uteuzi wa wakurugenzi wa idara mbalimbali ya chama hicho akiwemo John Mrema kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Taarifa kwa Umma.

Mrema atasaidiwa na Ipyana Samsom ambaye awali alikuwa akiiongoza Idara hiyo.

Aidha, Catherine Ruge ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Uchumi, Fedha na Mipango.

Uteuzi huo umetangazwa na Katibu Mkuu wa Chaumma, Salum Mwalimu baada ya kumalizika kikao hicho kilichofanyika leo Jumamosi Mei 24, 2025 jijini Dar es Salaam na kuongozwa na mwenyekiti wake, Hashim Rungwe.

Mwalimu amesema walioteuliwa wana uzoefu mkubwa kwenye maeneo yao hivyo hana shaka watatumika vilivyo.

1748099751900.png

1748099778800.png
 
Baasi, Mrema vs yule dada wa chadema, gwiji la propaganda, ni maji na mafuta.

Kwa uteuzi huu, mganga kaingia kilingeni na vifaa vyote
 
Kamati Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) imefanya uteuzi wa wakurugenzi wa idara mbalimbali ya chama hicho akiwemo John Mrema kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Taarifa kwa Umma.

Mrema atasaidiwa na Ipyana Samsom ambaye awali alikuwa akiiongoza Idara hiyo.

Aidha, Catherine Ruge ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Uchumi, Fedha na Mipango.

Uteuzi huo umetangazwa na Katibu Mkuu wa Chaumma, Salum Mwalimu baada ya kumalizika kikao hicho kilichofanyika leo Jumamosi Mei 24, 2025 jijini Dar es Salaam na kuongozwa na mwenyekiti wake, Hashim Rungwe.

Mwalimu amesema walioteuliwa wana uzoefu mkubwa kwenye maeneo yao hivyo hana shaka watatumika vilivyo.

Wamechagua kwenye upigaji
 
Maokoto ya U-tube yatarosha walau kreti moja ya serengeti kwa wiki. Pale Chadema alikuwa anabwia kila siku kutokana na ukubwa wa maokoto.
 
Kamati Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) imefanya uteuzi wa wakurugenzi wa idara mbalimbali ya chama hicho akiwemo John Mrema kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Taarifa kwa Umma.

Mrema atasaidiwa na Ipyana Samsom ambaye awali alikuwa akiiongoza Idara hiyo.

Aidha, Catherine Ruge ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Uchumi, Fedha na Mipango.

Uteuzi huo umetangazwa na Katibu Mkuu wa Chaumma, Salum Mwalimu baada ya kumalizika kikao hicho kilichofanyika leo Jumamosi Mei 24, 2025 jijini Dar es Salaam na kuongozwa na mwenyekiti wake, Hashim Rungwe.

Mwalimu amesema walioteuliwa wana uzoefu mkubwa kwenye maeneo yao hivyo hana shaka watatumika vilivyo.

Hongera zao
 
Back
Top Bottom