Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Nafikiri hali si shwali ndani ya klabu ya mikia kwa sasa, kuondoka kwa babra kunaitimisha safari ya mwanamama uyu juu ya maneno mengi yaliyokuwa yanasemwa juu yake, akilalamikiwa na viongozi mbali mbali ndani ya klabu kuwa ana dharau na ni mbinafsi, kauli za manara dhidi yake zimetimia leo na inaonekana amepigwa presha kubwa sana mpaka ameamua kukaa pembeni, Lakini tukumbuke uyu alikuwa ni chaguo la mwekezaji na ndiye aliyempachika kuwa mtendaji mkuu licha ya baadhi ya wanabodi kuhoji namna alivyoajiriwa, Sasa nyuma ya babra yuko mwekezaji ambae na yeye sidhani kama amefurahishwa kuondoshwa kwa mtu wake wa karibu ngoja tusubili muda utaamua