Chawa mkuu wa mwekezaji kasepa sasa anayefata ni mwekezaji mwenyewe

Chawa mkuu wa mwekezaji kasepa sasa anayefata ni mwekezaji mwenyewe

Watu ni wanafiki sana hao hao walikua kutwaa kumsengenya dada wa watu oohh sijui ni demu wa mo oo vile sijui hivi...leo ndo wanaona ni mzuri sasa...hata mitaani huko watu wengi maisha yao ya humu yanaakisi tabia zao..
 
Unajua kibongo bongo hatujui nini maana ya uongozi na matendo ya uongozi kwakua tumeshazoea kufanya mambo kienyeji basi akija mtu mwenye kusimamia nafasi yake yanaruka maeno anadharau sjui mbinafsi sasa kama hamjui mambo ya ki uongozi si mpige kimya au muachane na hizo mambo muendeshe timu kienyeji wazee washililie hatamu. Hivi vilabu viwili havifurahii sana kukiwa na uongozi imara wanachotaka wao ni wazee washikilie timu bas uchawi uchawi ndo uwe jadi yao
 
Watu ni wanafiki sana hao hao walikua kutwaa kumsengenya dada wa watu oohh sijui ni demu wa mo oo vile sijui hivi...leo ndo wanaona ni mzuri sasa...hata mitaani huko watu wengi maisha yao ya humu yanaakisi tabia zao..
Shida ya wabongo wengi ni wivu na umaskini wa fikra kutokana na ugumu wa maisha
 
Huyu dada alijitahidi Sana kuitengeneza,Simba na kuitangaza na kuitafutia exposure. Sio Simba tuu lakini hata Tanzania imejulikana kisoka kimataifa.

Nadhani atakuwa amepata vikwazo vikubwa kwa wapiga Dili, ambao alikuwa ameziba mianya yote, Sasa wamtafutia zengwe hadi wamemngoa ili waendelee kutafuna fedha za viingilio na 10% za usajili
Yeye ndiyo alikua kiungo wa mpigaji Mo sasa Mo amebanwa na kashindwa kutetea maslahi yake imebidi waanze kufungasha virago.
 
Yeye ndiyo alikua kiungo wa mpigaji Mo sasa Mo amebanwa na kashindwa kutetea maslahi yake imebidi waanze kufungasha virago.
Kwani hapo utopoloni hampigwi ila kawaida yakiamka kwa simba ujue mageuzi yanayokuja uto lazima mteseke na kama kawaida yenu mtaitwa wala mihogo
 
Umekaririshwa eti? Unaujua mkataba wa jezi wa yanga kwa sasa au ndio unajizima data,,mbona mkataba uko wazi na ulisainiwa mchana kweupe bro,,mkataba wa 1.5b. Kwa mwaka na ni miaka 3 upo hapo, iyo 1200 unayoisema unaijua wewe na wajinga wenzako lakini sisi mkataba tunaoujua ni huo uliosainiwa peupe na sio mafichoni kama anavyofanya mhindi wa bombay
Hio 1.5b kweli kwa jezi za 35k kwa wingi wa watu walionunua unataka kuniambia nyie mmepata kiwango kikubwa piga hesabu vizur utajifunza mmepigwa huwez uza jezi 35k alaf timubichukue 1.5b inamaana kila jezi mmechukua 1k tu
 
Yeye ndiyo alikua kiungo wa mpigaji Mo sasa Mo amebanwa na kashindwa kutetea maslahi yake imebidi waanze kufungasha virago.
Subirini akina try tomorrow wachukue timu muone vimbwanga.

Wataanza kutegemea waganga wa kienyeji, hivyo fedha za kamati ya ufundi lazima zitolewe.

Kila kiongozi atakuwa na mchezaji wake atakayelazimisha apangwe.

Kocha atakuwa kama boys tuu, maana Kila kitu atakuwa anspangiwa na viongozi na wazee wa timu.Mchezaji atafanya kile alichoambiwa na mganga na sio alichofundishwa na kocha.
 
Hio 1.5b kweli kwa jezi za 35k kwa wingi wa watu walionunua unataka kuniambia nyie mmepata kiwango kikubwa piga hesabu vizur utajifunza mmepigwa huwez uza jezi 35k alaf timubichukue 1.5b inamaana kila jezi mmechukua 1k tu
Kwaiyo nyie mmepigwa zaidi mnaochukua b.1 kwa mwaka sio, Sasa ni nani kilaza kuliko mwenzake?
 
Mashabiki wa yanga leo wanajifanya kuishauri simba ajabu hii? Yule dada yuko professional hajaondoka ghafla wala kwa kulia kama manara, katoa muda wa mpito klabu ijipange hadi january kwa amani kabisa.
 
Ifikie hatua klabu zetu watendaji wakuu wawe watanzania kama walivofanya simba kutoa ajira kwa mtanzania mambo ya kila kitu kuamini wageni kama liyanga sio sawa
 
Hio 1.5b kweli kwa jezi za 35k kwa wingi wa watu walionunua unataka kuniambia nyie mmepata kiwango kikubwa piga hesabu vizur utajifunza mmepigwa huwez uza jezi 35k alaf timubichukue 1.5b inamaana kila jezi mmechukua 1k tu
Wewe unahesabu mauzo hauangalii gharama za uzarishaji, uendeshaji, promotion!
 
Watu ni wanafiki sana hao hao walikua kutwaa kumsengenya dada wa watu oohh sijui ni demu wa mo oo vile sijui hivi...leo ndo wanaona ni mzuri sasa...hata mitaani huko watu wengi maisha yao ya humu yanaakisi tabia zao..
Nenda kaombe hyo nafsi acha kukah hapa jukwaani kutukanan na watu nenda kaombe nafasi s vyeti na uwezi unao

Mnk naona unaongeleaa mpira kiurahisi San Kam mchezo wa chumban
 
Nafikiri hali si shwali ndani ya klabu ya mikia kwa sasa, kuondoka kwa babra kunaitimisha safari ya mwanamama uyu juu ya maneno mengi yaliyokuwa yanasemwa juu yake, akilalamikiwa na viongozi mbali mbali ndani ya klabu kuwa ana dharau na ni mbinafsi, kauli za manara dhidi yake zimetimia leo na inaonekana amepigwa presha kubwa sana mpaka ameamua kukaa pembeni, Lakini tukumbuke uyu alikuwa ni chaguo la mwekezaji na ndiye aliyempachika kuwa mtendaji mkuu licha ya baadhi ya wanabodi kuhoji namna alivyoajiriwa, Sasa nyuma ya babra yuko mwekezaji ambae na yeye sidhani kama amefurahishwa kuondoshwa kwa mtu wake wa karibu ngoja tusubili muda utaamua
Huyu alisifiwa sana kwa maneno yote siku za kukabidhiwa ofisi, huenda waliomsifia ndiyo wanamshambulia sasa, hii ndiyo Bongo
 
Back
Top Bottom