Usilinganishe matango pori na vitu vinavyoeleweka bro, Unaweza kuniambia mfumo wenu wa mabadiliko umefikia wapi mpaka sasa? Eng. Hersi ata kama amewekwa anayoyafanya yanaonekana na yako wazi kuanzia mikataba ya wadhamini, mfumo wa uendeshaji wa klabu, na mapato ya klabu viko wazi, ebu niambie mikia wanaingiza bei gani kwa mwaka kupitia wadhamini wao? Ebu niambie yule mhindi wenu zile pesa za hisa aliweka benk gani? Hivi zile pesa za uwekezaji zingekuwepo wangekuwa wanasajiliwa kina kyombo? Au wachezaji wangekuwa wanakosa bonus zao? Au basi la klabu lingekuwa limeshikiliwa na wanaodai malipo yao? Ni aina gani hiyo ya uwekezaji aisee? Usilinganishe vitu tu ilimradi yanga wamewaacha mbali sana kwenye transformation yao na ujanja ujanja ndio uliowaponza ona sasa akuna cha maana kilichofanyika kwenye klabu zaidi ya malumbano na minyukano ya chini kwa chini kati ya Mo na wajumbe wa bodi mkija kushtuka mtaanza kutembeza bakuli kama mwanzo shauri yenu