Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Mzee Makala natabiri atakaa kwa muda mfupi sana kwenye nafasi mpya. Changamoto kubwa iliyopo ni kukalia kiti cha mtu anayeamini yupo sahihi na anaweza kuliko wote.
Team Makonda are not happy na kilichotokea, awataki kuamini kwamba Makala anaweza akawa smart kuliko bosi wao. Wamegoma kukubaliana na hali ila wameishiwa mikakati.
Ukiingia kwenye mitandao kuna kundi kubwa la akaunti zilizofunguliwa hivi karibuni ambalo kabla ya kutenguliwa kwa Makonda walikuwa wanajaribu kukimbiza uzi na posts kuonyesha anafanya vizuri
Akaunti zile zile leo zinamkosoa Makala bila kufahamu kwamba huyu kateuliwa na mwenyekiti ambaye ni bosi wa chama.
Ni maoni yangu kwamba mgawanyiko unaoletwa na hawa machawa usipokemewa ndani ya chama wanaweza kumdhoofisha makala na chama kwa jumla.
Naomba niwakumbushe CCM kwamba hakujawahi kuwa na viongozi wanaojiona wapo juu ya chama huko nyuma kwa sababu viongozi waliandaliwa. Leo hii safu yote ya juu ya chama isipokuwa Kinana na Nchimbi hakuna aliyeandaliwa kuongoza ila walibebwa na mifumo kuongoza. That's why confidence ya Kinana na Nchimbi siyo yakupambana sana na watu ni kupambana kuziba mianya ya hoja za upinzani kwa kutumia mikakati ya kisiasa.
Kwa safu hii nashauri CCM waendelee kujitafuta la sivyo watatafutwa na wananchi.