Chawa wa Mama wamemgeuka Salim Kikeke; wamempora nafasi yake wamempa Mobhare Matinyi

Wengine wanalipwa kiasi gani? Huna data unapinga tu?
1.Garry Lineker ndie anaelipwa mshahara mkubwa BBC nzima. £1.3 m per year.
2. Zoe Ball analipwa £980k. per (year)Ni mtangazaji wa BBC Radio 1 na BBC Radio 2 the breakfast show
3. Allan Shearer £ 450k (per year) yupo kwenye kipindi cha match of the day cha Garry Lineker .
Unataka data gani ? £ ya Kiingereza unaijua wewe? Hakuna mtangazaji BBC anaelipwa mamilioni ya £.
 
wivu utakuua
Mtu ambae humu admire, unamuona hana uwezo, huwezi kumuonea wivu...

wa kina Kikeke na Hillary na Zahra siwaoni kama ni waandishi wa viwango vya ile BBC proper (sio hizi za kukalimani lugha) ambayo wengine tumeanza kuisikiliza toka watoto kwenye Short Wave radio za nyumbani .... Journalism ya hawa watu is atrocious. Their work is hot garbage.

Hivi unadhani Kikeke akipewa audience na Waziri Mkuu Rishi Sunak anaweza kumsaili ? Atamuuliza nini ???
 
Anaandaliwa u DC kama kipozeo au nafasi nyingine yoyote ya kuteuliwa itakayohusisha fani yake.. Mkeka ujao next year utambeba lakini kama akiwa mtiifu kwa chama na serikali

Sent using Jamii Forums mobile app
Umewaza kama nilivyowaza mimi
Bado anapenda uhuru wake
Uchonganishi sio fani yake
Wamemuona bado ni mtu wa kujisherehesha mtu wa ku explore matani mengi hajui kugombana bado… Ukuu wa wilaya Mkoa labda ataanzia hapo kama msando..
 
Kwahiyo kwa akili yako unadhani mdahalo huwa unafanyika ghafla bila maandalizi? Hizi akili fupi huwa ni za kurithi au huwa mnajifanyisha tu?
 
bulembo alishauza hiyo redio
 
Kikeke hana shule yule ni mhuni mhuni tu. Kilichomtoa BBC ni shule sio kingine.
BBC wamefanya restructuring na kuifunga BBC swahili service from London na kuipeleka Nairobi ambako tayari kulikuwa na watu wa kutosha....ni kawaida kwenye restructuring watu kupoteza kazi.
 
Kwani Zuhura yeye alikuwa anafanya kazi wapi? Na sasa hiv anafanya wapi?

Kama msimamo unasababiswa na kufanya kazi BBC, huoni umeandika Pumba?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji106]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Watanzania tuna chuki na husda mbaya sana......yaani unaweza kumuona mtu anakonda kumbe haumwi bali ni chuki na husda ndio vinamkondesha........ndio maana watu wakipata mwanga na dira za maisha hujitenga na wabongo......ni hatari sana.......

Yaani mtu anakuchukia bila sababu na hata humjui na hamjuani lakini husda tu............

Watu wanapata shinikizo la damu na visukari bila kusahau na matatizo ya Figo kwa sababu ya kuhifadhi chuki mioyoni mwao
 
Waafrika hasa watanzania wana laana.

Ukiwa nchi za ughaibuni ni kuwaepuka wabongo kama ukoma.

Umaskini wa watanzania wengi umewajengea chuki ya kumchukia kila mtu aliye fanikiwa.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kama alivyofanya Dr Slaa alipotimkia ughaibuni. Alivuna mpunga wa kutosha. Wabongo wana roho fulani hivi ya kwanini!
Hivi mtu akikosoa uongo wako kwamba Salim Kikeke alikuwa akilipwa mamilioni ya paundi za Uingereza kwa mwezi huko BBC hiyo ndiyo roho ya kwanini! Kubali tu ulikosea kuandika badala ya kuungana na wajinga wengine kubadili mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…