Chawa wa Mama wamemgeuka Salim Kikeke; wamempora nafasi yake wamempa Mobhare Matinyi

Chawa wa Mama wamemgeuka Salim Kikeke; wamempora nafasi yake wamempa Mobhare Matinyi

Anaandaliwa u DC kama kipozeo au nafasi nyingine yoyote ya kuteuliwa itakayohusisha fani yake.. Mkeka ujao next year utambeba lakini kama akiwa mtiifu kwa chama na serikali

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hata wakimpangia nafasi nyingine lakini kumbuka nafasi aliyoahidiwa sio hiyo atakayopewa. Ni bora wangemuacha aendelee kuvuna paundi akiwa BBC. Wamemharibia future bila sababu za msingi.
 
Kikeke hana shule yule ni mhuni mhuni tu. Kilichomtoa BBC ni shule sio kingine.
kakakaa miaka 20 BBC akipiga kazi halafu unadai katolewa kwa sababu ya elimu?

hivi unajua kuwa Salim Kikeke ndio Mtanzania wa kwanza kuruhusiwa kutangaza BBC idhaa ya Kiingereza ? wengine wote hadi Tido waliishia kutangaza idhaa ya kiswahili
 
Mwambie aelewe maana kuna watu wanaamua kujizima data badala ya kuuliza waelimishwe.
 
kakakaa miaka 20 BBC akipiga kazi halafu unadai katolewa kwa sababu ya elimu?

hivi unajua kuwa Salim Kikeke ndio Mtanzania wa kwanza kuruhusiwa kutangaza BBC idhaa ya Kiingereza ? wengine wote hadi Tido waliishia kutangaza idhaa ya kiswahili
Kutangaza idhaa ya Kiingereza Ndio Shule?

Hata ITV alikuwa anatangaza Idhaa ya Kiingereza akiwa na Airlin Malonga na Sauda 😀
 
nafasi hiyo inakuweka karibu na rais na hivyo mgaa gaa na upwa hali wali mkavu
Ahaa maana yake ni kama fursa fulani hivi ya kupenyeza deal zako sio?... ila ndo uzuri wa kazi za serikali.. unakuta mshahara unasoma mdogo ila kuna vihela vya hapa na pale na madili mengine... unajikuta mwishowe unaangusha mjengo na unamiliki assets za kutosha..

Kwa hapo sawaa basi
 
Kikeke hana shule yule ni mhuni mhuni tu. Kilichomtoa BBC ni shule sio kingine.
WEWE NI MPUMBAVU!

USIPENDE KUONGELEA WATU USIOWAJUA NA KUWACHUKULIA POA!

YULE SIO MWENZIO HATA KIDOGO NA HII INAONESHA DHAHIRI WABONGO NI WAKURUPUKAJI WA KUONGEA VITU MSIVYOVIJUA...

SALIM KIKEKE ANA DEGREE ZAIDI YA MOJA NA MASTERS ALIYOISOMEA UINGEREZA KIPINDI YUKO ULAYA MIAKA MINGI. KASOMEA SIASA ZA KIMATAIFA NA NAMNA YA KU-RESOLVE MIGOGORO YA KISIASA YA KIMATAIFA. BISHANA NIKUTAJIE MPAKA NA CHUO NA MAHALA KILIPO NA PICHA YAKE AKIWA AMEHITIMU. MEDIA ZA KIMATAIFA HAZICHUKUI WATU ANGALAU WASIO NA DEGREE! TENA ZA KIMATAIFA... POLE KAMA ULIHISI YULE NI MWENZIO AU WALE WANAOKAA PALE NI WENZIO

TENA POLE SANA!
 
Mkuu hata wakimpangia nafasi nyingine lakini kumbuka nafasi aliyoahidiwa sio hiyo atakayopewa. Ni bora wangemuacha aendelee kuvuna paundi akiwa BBC. Wamemharibia future bila sababu za msingi.
Kama aliwahi kuwaharibia akiwa huko basi wamelipa kisasi.. CCM wana tabia ya kulea kisasi hawasahau na hawajui kusamehe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwez ajiriwa in one of the top news broad casting eti huna elimu. British standards zina demand uwe na elim tena si ya kuunga unga
Huyo chizi! Anakurupuka tu kuandika... majitu yasio na shule na yaliyoharibikiwa maishani yanaonaga kila aliyefanikiwa hakustahili kuwa pale... ni kama wao ndomana wakisikia au wakiona fulani kapata utasikia "duhh! Mpaka yule?!" Kumbe hawafanani 😂
 
Ahaa maana yake ni kama fursa fulani hivi ya kupenyeza deal zako sio?... ila ndo uzuri wa kazi za serikali.. unakuta mshahara unasoma mdogo ila kuna vihela vya hapa na pale na madili mengine... unajikuta mwishowe unaangusha mjengo na unamiliki assets za kutosha..

Kwa hapo sawaa basi
Exacxtly, hata ukifanya madudu TAKUKURU wanakuogopa maana wanajua uko karibu na ngazi zote za juu za nchi hii serikalini....
 
Back
Top Bottom