Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Naunga mkono hoja 👍👏Anaandaliwa u DC kama kipozeo au nafasi nyingine yoyote ya kuteuliwa itakayohusisha fani yake.. Mkeka ujao next year utambeba lakini kama akiwa mtiifu kwa chama na serikali
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahadi ni deni; sharti ilipwe!
Hakuna shule pale kashindwa kabisa kuleta ushindani wa nafasi muhimu BBC ndio ataweza kuisemea nchi. Si unajua wabongo kupenda vibovu.Wanamkuuuuza huyo SK, wakati hana maajabu yoyote.
-Kaveli-
Haujui kitu tulia wewe.Huwez ajiriwa in one of the top news broad casting eti huna elimu. British standards zina demand uwe na elim tena si ya kuunga unga
Hujajibu swali hizo ahadi wewe ulizionea wapi?Mbona unakuwa mkali au wewe ndiye anakudinya? Tetea hoja acha matusi usije kusababisha nipiwe ban bure.
Mkuu hata wakimpangia nafasi nyingine lakini kumbuka nafasi aliyoahidiwa sio hiyo atakayopewa. Ni bora wangemuacha aendelee kuvuna paundi akiwa BBC. Wamemharibia future bila sababu za msingi.Anaandaliwa u DC kama kipozeo au nafasi nyingine yoyote ya kuteuliwa itakayohusisha fani yake.. Mkeka ujao next year utambeba lakini kama akiwa mtiifu kwa chama na serikali
Sent using Jamii Forums mobile app
kakakaa miaka 20 BBC akipiga kazi halafu unadai katolewa kwa sababu ya elimu?Kikeke hana shule yule ni mhuni mhuni tu. Kilichomtoa BBC ni shule sio kingine.
Wewe nawe huwa unapitwa na mambo mengi sana 😀Kwani msemaji wa serikali ameshachaguliwa? ni nani
Mwambie aelewe maana kuna watu wanaamua kujizima data badala ya kuuliza waelimishwe.kakakaa miaka 20 BBC akipiga kazi halafu unadai katolewa kwa sababu ya elimu?
hivi unajua kuwa Salim Kikeke ndio Mtanzania wa kwanza kuruhusiwa kutangaza BBC idhaa ya Kiingereza ? wengine wote hadi Tido waliishia kutangaza idhaa ya kiswahili
Kutangaza idhaa ya Kiingereza Ndio Shule?kakakaa miaka 20 BBC akipiga kazi halafu unadai katolewa kwa sababu ya elimu?
hivi unajua kuwa Salim Kikeke ndio Mtanzania wa kwanza kuruhusiwa kutangaza BBC idhaa ya Kiingereza ? wengine wote hadi Tido waliishia kutangaza idhaa ya kiswahili
Wewe unayepinga ndiye unatakiwa ulete ushahidi unaopindua nilichoandika. Acha ubishi wa kwenye vijiwe vya kahawa......kule kwenye vijiwe hata kama huna hoja ilmradi unapayuka sana watu watadhani wewe ndiye mwenye hoja kumbe hamna kitu!Hujajibu swali hizo ahadi wewe ulizionea wapi?
Ahaa maana yake ni kama fursa fulani hivi ya kupenyeza deal zako sio?... ila ndo uzuri wa kazi za serikali.. unakuta mshahara unasoma mdogo ila kuna vihela vya hapa na pale na madili mengine... unajikuta mwishowe unaangusha mjengo na unamiliki assets za kutosha..nafasi hiyo inakuweka karibu na rais na hivyo mgaa gaa na upwa hali wali mkavu
WEWE NI MPUMBAVU!Kikeke hana shule yule ni mhuni mhuni tu. Kilichomtoa BBC ni shule sio kingine.
Nina muda limited wa kuwa JF. radio, magazeti and all news outlets za Tz huwa sizijui na sina haja ya kuzijua..... nasisikiliza, BBC , CNN, SABC and the like, hawatangazi hayo, sasa nitapata wapi habari?Wewe nawe huwa unapitwa na mambo mengi sana 😀
Kama aliwahi kuwaharibia akiwa huko basi wamelipa kisasi.. CCM wana tabia ya kulea kisasi hawasahau na hawajui kusameheMkuu hata wakimpangia nafasi nyingine lakini kumbuka nafasi aliyoahidiwa sio hiyo atakayopewa. Ni bora wangemuacha aendelee kuvuna paundi akiwa BBC. Wamemharibia future bila sababu za msingi.
Huyo chizi! Anakurupuka tu kuandika... majitu yasio na shule na yaliyoharibikiwa maishani yanaonaga kila aliyefanikiwa hakustahili kuwa pale... ni kama wao ndomana wakisikia au wakiona fulani kapata utasikia "duhh! Mpaka yule?!" Kumbe hawafanani 😂Huwez ajiriwa in one of the top news broad casting eti huna elimu. British standards zina demand uwe na elim tena si ya kuunga unga
Exacxtly, hata ukifanya madudu TAKUKURU wanakuogopa maana wanajua uko karibu na ngazi zote za juu za nchi hii serikalini....Ahaa maana yake ni kama fursa fulani hivi ya kupenyeza deal zako sio?... ila ndo uzuri wa kazi za serikali.. unakuta mshahara unasoma mdogo ila kuna vihela vya hapa na pale na madili mengine... unajikuta mwishowe unaangusha mjengo na unamiliki assets za kutosha..
Kwa hapo sawaa basi