Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wakuu
Hapa kama Nchi ndipo tumefikia yaani Chawa wa Rais Samia, Cassypool amesafiri kutoka Kenya kuja kutembelea ujenzi wa barabara ya Mwendokasi.
𤣠Nchi ina Chawa wa Kimataifa, labda kuna pesa nyingi sana inamwagwa kumsemea mhusika ndio maana Chawa wameona ni wakati wa kula na kipofu gizani
Soma, Pia: Je, Uchawa unazorotesha Uwajibikaji? Ipi ni namna bora ya kuhakikisha Uwajibikaji unakuwa sehemu ya Utamaduni wa Kisiasa?