Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Maisha yanaenda kasi sana!
Kwa sasa hivi hapa Tanzania kama lipo kundi linatamani uhuru wa maoni binafsi ubinywe basi ni chawa wa Samia pro max.
Kasi ya kukosolewa Samia kwenye mitandao ya kijamii haiwafurahishi kabisa hali inayowapelekea kutamani sheria ya Magufuli ya kuminya vyombo vya habari itumike kuwabana wadau.
Mlishajiuliza ni kwa nini hiyo sheria hawataki kuifanyia marekebisho?! Jibu ni moja wanataka kuitumia hapo baadae pindi kelele za watoa maoni binafsi zitapozidi kimo.
Muda utaongea.