Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Wakubwa walishasema ni Rais wa Mpito ndio ukweli apende asipende ndio ukweliMaisha yanaenda kasi sana!
Kwa sasa hivi hapa Tanzania kama lipo kundi linatamani uhuru wa maoni binafsi ubinywe basi ni chawa wa Samia pro max.
Kasi ya kukosolewa Samia kwenye mitandao ya kijamii haiwafurahishi kabisa hali inayowapelekea kutamani sheria ya Magufuli ya kuminya vyombo vya habari itumike kuwabana wadau.
Mlishajiuliza ni kwa nini hiyo sheria hawataki kuifanyia marekebisho?! Jibu ni moja wanataka kuitumia hapo baadae pindi kelele za watoa maoni binafsi zitapozidi kimo.
Muda utaongea.
Waambie wakajinyonge!Kenge hao.Nchi ina amani.Maisha yanaenda kasi sana!
Kwa sasa hivi hapa Tanzania kama lipo kundi linatamani uhuru wa maoni binafsi ubinywe basi ni chawa wa Samia pro max.
Kasi ya kukosolewa Samia kwenye mitandao ya kijamii haiwafurahishi kabisa hali inayowapelekea kutamani sheria ya Magufuli ya kuminya vyombo vya habari itumike kuwabana wadau.
Mlishajiuliza ni kwa nini hiyo sheria hawataki kuifanyia marekebisho?! Jibu ni moja wanataka kuitumia hapo baadae pindi kelele za watoa maoni binafsi zitapozidi kimo.
Muda utaongea.
Kama dikteta tulimkosoa huyu tutamshindwa?Maisha yanaenda kasi sana!
Kwa sasa hivi hapa Tanzania kama lipo kundi linatamani uhuru wa maoni binafsi ubinywe basi ni chawa wa Samia pro max.
Kasi ya kukosolewa Samia kwenye mitandao ya kijamii haiwafurahishi kabisa hali inayowapelekea kutamani sheria ya Magufuli ya kuminya vyombo vya habari itumike kuwabana wadau.
Mlishajiuliza ni kwa nini hiyo sheria hawataki kuifanyia marekebisho?! Jibu ni moja wanataka kuitumia hapo baadae pindi kelele za watoa maoni binafsi zitapozidi kimo.
Muda utaongea.
Chawa Nape, Makamba na wengine.Maisha yanaenda kasi sana!
Kwa sasa hivi hapa Tanzania kama lipo kundi linatamani uhuru wa maoni binafsi ubinywe basi ni chawa wa Samia pro max.
Kasi ya kukosolewa Samia kwenye mitandao ya kijamii haiwafurahishi kabisa hali inayowapelekea kutamani sheria ya Magufuli ya kuminya vyombo vya habari itumike kuwabana wadau.
Mlishajiuliza ni kwa nini hiyo sheria hawataki kuifanyia marekebisho?! Jibu ni moja wanataka kuitumia hapo baadae pindi kelele za watoa maoni binafsi zitapozidi kimo.
Muda utaongea.
Binadamu tu viumbe wa ajabu sana tukipewa uhuru tunadai utumwa tukipewa utumwa tunadai uhuru,Maisha yanaenda kasi sana!
Kwa sasa hivi hapa Tanzania kama lipo kundi linatamani uhuru wa maoni binafsi ubinywe basi ni chawa wa Samia pro max.
Kasi ya kukosolewa Samia kwenye mitandao ya kijamii haiwafurahishi kabisa hali inayowapelekea kutamani sheria ya Magufuli ya kuminya vyombo vya habari itumike kuwabana wadau.
Mlishajiuliza ni kwa nini hiyo sheria hawataki kuifanyia marekebisho?! Jibu ni moja wanataka kuitumia hapo baadae pindi kelele za watoa maoni binafsi zitapozidi kimo.
Muda utaongea.
...na aliwaomba mmkune taratiiiibu!Binadamu tu viumbe wa ajabu sana tukipewa uhuru tunadai utumwa tukipewa utumwa tunadai uhuru,
Mama ashasema ana ngozi ngumu ila msememini msipitilize
Kamkune mama taratibu aliombaPush gang hakuna rangi mtaacha kuiona, 2025 hakuna push gang ataingia bungeni.
Nyie jifanyeni nunda mmparure, walahi mtaparuriwa mara kumi yake.Kamkune mama taratibu aliomba
Wengi wao sio chawa Tena Bali Ni kunguni....Maisha yanaenda kasi sana!
Kwa sasa hivi hapa Tanzania kama lipo kundi linatamani uhuru wa maoni binafsi ubinywe basi ni chawa wa Samia pro max.
Kasi ya kukosolewa Samia kwenye mitandao ya kijamii haiwafurahishi kabisa hali inayowapelekea kutamani sheria ya Magufuli ya kuminya vyombo vya habari itumike kuwabana wadau.
Mlishajiuliza ni kwa nini hiyo sheria hawataki kuifanyia marekebisho?! Jibu ni moja wanataka kuitumia hapo baadae pindi kelele za watoa maoni binafsi zitapozidi kimo.
Muda utaongea.
Maisha yanaenda kasi sana!