LGE2024 CHDEMA: Mkoa wa DSM wenye Mitaa 636 Wamekatwa majina ya Wagombea wetu 571 wamebaki 45 tu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani Boniface Jacob amesema mkoa wa DSM una Mitaa 636 na Wagombea wa Chadema 571 wamekatwa na kubaki 45 tu

Watanzania Kwa Umoja wenu mnaombwa kuiombea Chadema

Boniface Jacob amesema ukurasani X

Baadae Mlale unono 🤣huku Mkimkumbuka Shujaa 😂

----
Mkoa wa Dar es Salaam wenye mitaa 636 wamekata majina ya wagombea wa CHADEMA 571. Wamebaki wagombea 45 tu

Dar es salaam yenye wajumbe wa Serikali za mitaa 3,822 wamekata majina ya wagombea wa ujumbe kupitia CHADEMA 3711, wamebakia 111 tu

Watendaji wa Kata na Mitaa wamepewa maelekezo ya kutowateua wagombea wa CHADEMA.

Wagombea wachache walioachwa bila kuenguliwa, kuna mkakati wa kuwaondoa wote kupitia mapingamizi.

Wagombea wa CCM wamepewa maelekezo ya kuwawekea mapingamizi wagombea hao wachache wa CHADEMA ili CCM wabaki pekee yao kwa 100%.

Kazi hii inafanywa na wakurugenzi wa Halmashauri, Wakuu wa Wilaya (DC) na Wakuu wa Usalama wa Taifa (DSO) wa Wilaya zote za Dar es Salaam

Haya ni majaribu makubwa lakini tutayashinda na Dar es salaam itaenda kuandika historia ya kutetea na kuhami Demokrasia.

Tutapambana mapambano ambayo hayajawahi kutokea,Mimi nitaongoza mapambano haya.

Boniface Jacob
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani.
Chadema susieni huo uchafuzi.Mimi binafsi sijajiandikisha nastaki kusikia
 
Ccm ndio italeta vita kwenye hii nchi na viongozi wa dini mkilifumbia hili macho mnapoteza credibility yenu.
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani Boniface Jacob amesema mkoa wa DSM una Mitaa 636 na Wagombea wa Chadema 571 wamekatwa na kubaki 45 tu

Watanzania Kwa Umoja wenu mnaombwa kuiombea Chadema

Boniface Jacob amesema ukurasani X

Baadae Mlale unono 🤣huku Mkimkumbuka Shujaa 😂

----
Mkoa wa Dar es Salaam wenye mitaa 636 wamekata majina ya wagombea wa CHADEMA 571. Wamebaki wagombea 45 tu

Dar es salaam yenye wajumbe wa Serikali za mitaa 3,822 wamekata majina ya wagombea wa ujumbe kupitia CHADEMA 3711, wamebakia 111 tu

Watendaji wa Kata na Mitaa wamepewa maelekezo ya kutowateua wagombea wa CHADEMA.

Wagombea wachache walioachwa bila kuenguliwa, kuna mkakati wa kuwaondoa wote kupitia mapingamizi.

Wagombea wa CCM wamepewa maelekezo ya kuwawekea mapingamizi wagombea hao wachache wa CHADEMA ili CCM wabaki pekee yao kwa 100%.

Kazi hii inafanywa na wakurugenzi wa Halmashauri, Wakuu wa Wilaya (DC) na Wakuu wa Usalama wa Taifa (DSO) wa Wilaya zote za Dar es Salaam

Haya ni majaribu makubwa lakini tutayashinda na Dar es salaam itaenda kuandika historia ya kutetea na kuhami Demokrasia.

Tutapambana mapambano ambayo hayajawahi kutokea,Mimi nitaongoza mapambano haya.

Boniface Jacob
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani.
 
Attachments

  • Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1 (1).png
    Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1 (1).png
    420.8 KB · Views: 1
  • 20240907_095744 (1).jpg
    20240907_095744 (1).jpg
    116.1 KB · Views: 1
  • 5810871-156c33252d331784831e630b50148deb.mp4
    2 MB
  • 5811523-6041f5af6e2b5c7600d07027005d6658.mp4
    3.7 MB
  • 5808629-57f86e47f2e7305376bcccf74fb56df4.mp4
    2.1 MB
  • 5808626-bde51487c15170759ed7838e0c83538c.mp4
    339 KB
Mbegu wanayoipanda ikishamea vizuri tutaanza kubaguana kwa itikadi za vyama. Chuki ikikithiri tutaanza kuchinjana wenyewe kwa wenyewe. Kansa huanza kusambaa taratibu.
Halafu vyombo vya ulinzi na usalama vinakubali huu ujinga wapuuzi kabisa.
 
Chadema nao waje na njia mbadala, hii ya kulalamika Kila siku haisaidii, uchaguzi uliopita walisusa uchaguzi ccm wakaongoza mitaa yote, kulikua na impact Gani ya kususa? Nothing at all!!! Mnalalamikia watu wanajiita vyura viziwi

Kwa ccm hii bila kupambana nao barabarani yaani kimeno meno hakuna kitu kitachobadilika
Waliitisha maandamano ulienda ?
 
Yaani yule jamaa wa Mtama na yule mwamba wa Longido na timu yake wawaachie ni ngumu.
 
Back
Top Bottom