johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Waasisi ni " Ulegevu" wa Chadema 🐼Bora Jiwe mifupa yake inaliwa na mchwa. Yeye ndio muasisi wa huu uovu wote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waasisi ni " Ulegevu" wa Chadema 🐼Bora Jiwe mifupa yake inaliwa na mchwa. Yeye ndio muasisi wa huu uovu wote.
Chadema susieni huo uchafuzi.Mimi binafsi sijajiandikisha nastaki kusikiaMwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani Boniface Jacob amesema mkoa wa DSM una Mitaa 636 na Wagombea wa Chadema 571 wamekatwa na kubaki 45 tu
Watanzania Kwa Umoja wenu mnaombwa kuiombea Chadema
Boniface Jacob amesema ukurasani X
Baadae Mlale unono 🤣huku Mkimkumbuka Shujaa 😂
----
Mkoa wa Dar es Salaam wenye mitaa 636 wamekata majina ya wagombea wa CHADEMA 571. Wamebaki wagombea 45 tu
Dar es salaam yenye wajumbe wa Serikali za mitaa 3,822 wamekata majina ya wagombea wa ujumbe kupitia CHADEMA 3711, wamebakia 111 tu
Watendaji wa Kata na Mitaa wamepewa maelekezo ya kutowateua wagombea wa CHADEMA.
Wagombea wachache walioachwa bila kuenguliwa, kuna mkakati wa kuwaondoa wote kupitia mapingamizi.
Wagombea wa CCM wamepewa maelekezo ya kuwawekea mapingamizi wagombea hao wachache wa CHADEMA ili CCM wabaki pekee yao kwa 100%.
Kazi hii inafanywa na wakurugenzi wa Halmashauri, Wakuu wa Wilaya (DC) na Wakuu wa Usalama wa Taifa (DSO) wa Wilaya zote za Dar es Salaam
Haya ni majaribu makubwa lakini tutayashinda na Dar es salaam itaenda kuandika historia ya kutetea na kuhami Demokrasia.
Tutapambana mapambano ambayo hayajawahi kutokea,Mimi nitaongoza mapambano haya.
Boniface Jacob
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani.
Hivi maccm Yana laana ya nani?Pesa za wananchi zinachezewa, bora huu uchaguzi ufutiliwe mbali, kuliko kuuweka alafu unaengua watu.
Kheri tuBora tupigane heshima iwepo
SureKheri tu
Tabia za mtu muafrika tuHivi maccm Yana laana ya nani?
Wanatufanya wasenge... Hivi hawa wachawi humu mitaani wanafanya nini?! haki ya Mungu ningekuwa na huo uchawi ningeroga haya majitu yoteSure
Hatari snWanatufanya wasenge... Hivi hawa wachawi humu mitaani wanafanya nini?! haki ya Mungu ningekuwa na huo uchawi ningeeoga haya majitu yote
Wachawi labda kwenyw kurudishana nyumaWanatufanya wasenge... Hivi hawa wachawi humu mitaani wanafanya nini?! haki ya Mungu ningekuwa na huo uchawi ningeroga haya majitu yote
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani Boniface Jacob amesema mkoa wa DSM una Mitaa 636 na Wagombea wa Chadema 571 wamekatwa na kubaki 45 tu
Watanzania Kwa Umoja wenu mnaombwa kuiombea Chadema
Boniface Jacob amesema ukurasani X
Baadae Mlale unono 🤣huku Mkimkumbuka Shujaa 😂
----
Mkoa wa Dar es Salaam wenye mitaa 636 wamekata majina ya wagombea wa CHADEMA 571. Wamebaki wagombea 45 tu
Dar es salaam yenye wajumbe wa Serikali za mitaa 3,822 wamekata majina ya wagombea wa ujumbe kupitia CHADEMA 3711, wamebakia 111 tu
Watendaji wa Kata na Mitaa wamepewa maelekezo ya kutowateua wagombea wa CHADEMA.
Wagombea wachache walioachwa bila kuenguliwa, kuna mkakati wa kuwaondoa wote kupitia mapingamizi.
Wagombea wa CCM wamepewa maelekezo ya kuwawekea mapingamizi wagombea hao wachache wa CHADEMA ili CCM wabaki pekee yao kwa 100%.
Kazi hii inafanywa na wakurugenzi wa Halmashauri, Wakuu wa Wilaya (DC) na Wakuu wa Usalama wa Taifa (DSO) wa Wilaya zote za Dar es Salaam
Haya ni majaribu makubwa lakini tutayashinda na Dar es salaam itaenda kuandika historia ya kutetea na kuhami Demokrasia.
Tutapambana mapambano ambayo hayajawahi kutokea,Mimi nitaongoza mapambano haya.
Boniface Jacob
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani.
Halafu vyombo vya ulinzi na usalama vinakubali huu ujinga wapuuzi kabisa.Mbegu wanayoipanda ikishamea vizuri tutaanza kubaguana kwa itikadi za vyama. Chuki ikikithiri tutaanza kuchinjana wenyewe kwa wenyewe. Kansa huanza kusambaa taratibu.
Waliitisha maandamano ulienda ?Chadema nao waje na njia mbadala, hii ya kulalamika Kila siku haisaidii, uchaguzi uliopita walisusa uchaguzi ccm wakaongoza mitaa yote, kulikua na impact Gani ya kususa? Nothing at all!!! Mnalalamikia watu wanajiita vyura viziwi
Kwa ccm hii bila kupambana nao barabarani yaani kimeno meno hakuna kitu kitachobadilika
Sasa wanaitisha Uchaguzi wa nini kama wanakata wagombea wengine ?Kwa hali hii unategemea visasi vitakosekanaje?