Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Thread closedSaa zingine tujifunze kuwa watu wa mpira wa miguu na kiwasilisha hoja kiufundi kwa kuangalia strength na weakness za mchezaji. Lakini huu uwasilishaji wako umejikita kwenye kujitoa akili.
Mchezaji karuhusu goli 16 kwani timu nzima anacheza peke yake? Jadili mapungufu yake na sio mapungufu ya timu kwa ujumla. Magoli 16 kuna makosa ya kipa, ya mabeki wenzie, na wachezaji wengineo kwanini uhitimishe kwa madhaifu ya mtu mmoja?
Medali za caf ndio michuano gani hiyo?Yanga wana Medali za CAF.
Yanga hawajawahi kutumia Uchawi kufika robo fainali.
Kawaida kama Epl boy alivyoshindwa kuendana na jamaa pale Uto Republic.Kwani sawadogo alicheza na. Wakina. Nani?
[emoji16][emoji16]Itoshe tu kusema
HUNA AKILI.
UnakatwaYanga wana Medali za CAF.
Yanga hawajawahi kutumia Uchawi kufika robo fainali.
Che malone MVP cameroom, kacheza mech 6 group stage kundi ambalo cotton sports alikuwa na al ahly, mamelod na al hilal, cotton spory wakawa wa mwisho kwenye kundi, watatu katika hilo kundi alikuwa al hilal aliyemtoa yanga CAFCL, al hilal ambae katikaechoja tu pale cairo alikula 5 mshambuliaj wao akiwa lilepoHata kwa Outtara tulionya mapema.
Lakini hawakutaka kusikia.
Taratibu bro. Unayapanikisha Makolodunduka huku, mara yanaweza kukuporomoshea matusi.Ila huyu mwamba ni uchochoro au kuna sababu nyingine?
Haiwezekani beki bora unacheza dakika 90 ya mechi zote za CAF halafu unaaruhusu kamba 16. Upi umuhimu wako kwenye timu? Upi msaada wako kwenye timu?
Uwezo wako unasaidia vipi timu isifungwe?
Magoli 16 sio mchezo ndugu zangu, hayo ni mengi mno!
Halafi cha ajabu na kuchekesha zaidi ni kwamba amekuwa beki bora (MVO) huko kwao. Yaani unaruhusu kamba 16 na unakuwa MVP [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu mwana alikuwa analinda dhidi ya washambuliaji wa aina gani huko Cameroon?
Nina wasiwasi hata ubora wa ligi yao! Nadhani Ligi ya Uganda iko na ushindani zaidi ya Ligi ya Kamerooni.
Hata historia inasema hakuna timu ya Cameroon ambayo ni dominant kwenye soka la CAF kama ilivyo kwa KCCA na Vipers za Uganda.
Si ajabu Yanga SC watani zetu wameamua kuchukua beki (Gift Fred) kwenye ligi bora zaidi ya Cameroon.
View attachment 2682970View attachment 2682971View attachment 2682974
😅🤣🤣Saa zingine tujifunze kuwa watu wa mpira wa miguu na kiwasilisha hoja kiufundi kwa kuangalia strength na weakness za mchezaji. Lakini huu uwasilishaji wako umejikita kwenye kujitoa akili.
Mchezaji karuhusu goli 16 kwani timu nzima anacheza peke yake? Jadili mapungufu yake na sio mapungufu ya timu kwa ujumla. Magoli 16 kuna makosa ya kipa, ya mabeki wenzie, na wachezaji wengineo kwanini uhitimishe kwa madhaifu ya mtu mmoja?
Haya mambo ya gender balance ni shida sana, ndo yameleta hii taabu.Sikuhizi mpaka wanawake wana comment kwenye mpira?
Inasikitisha.
game zote za msimu mzima? unatisha Mzee kama sio chaiNimeangalia games zote za Pamba FC.
Nimeangalia games zote za Asec Mimosas.
Che Guevara sio beki wa kuipeleka timu nchi ya ahadi.