Che Malone Karuhusu Magoli 16 CAFCL katika Mechi 6 Tu.

Che Malone Karuhusu Magoli 16 CAFCL katika Mechi 6 Tu.

Saa zingine tujifunze kuwa watu wa mpira wa miguu na kiwasilisha hoja kiufundi kwa kuangalia strength na weakness za mchezaji. Lakini huu uwasilishaji wako umejikita kwenye kujitoa akili.

Mchezaji karuhusu goli 16 kwani timu nzima anacheza peke yake? Jadili mapungufu yake na sio mapungufu ya timu kwa ujumla. Magoli 16 kuna makosa ya kipa, ya mabeki wenzie, na wachezaji wengineo kwanini uhitimishe kwa madhaifu ya mtu mmoja?
Thread closed
 
Unadhani alikuwa anacheza na akina Real Bamako, Malumo Galants au TP Mazembe ya sasa ya kichovu?
 
Hata kwa Outtara tulionya mapema.

Lakini hawakutaka kusikia.
Che malone MVP cameroom, kacheza mech 6 group stage kundi ambalo cotton sports alikuwa na al ahly, mamelod na al hilal, cotton spory wakawa wa mwisho kwenye kundi, watatu katika hilo kundi alikuwa al hilal aliyemtoa yanga CAFCL, al hilal ambae katikaechoja tu pale cairo alikula 5 mshambuliaj wao akiwa lilepo

Nimekukumbusha haya sio kwa ubaya bali kukufahamisha kuwa ubora wa mchezaji haulazimiki kuendana na ubora wa timu yake ndio maana pale simba analalamikiwa onyango pekee kwenye kufungisha na sio inonga

Pia nikufahamishe kuwa outara alisajiliwa akiwa hana match fitness wakat ambao maloni alikuwa panga pangua kwenye kikosi chake cha cotton sport
 
Kiongozi huyu na Aubin Kramo Kouamé ni watu ushabiki pembeni!!!
Nimeangalia games zote za Pamba FC.

Nimeangalia games zote za Asec Mimosas.


Che Guevara sio beki wa kuipeleka timu nchi ya ahadi.
 
Elewa maana ya neno TIMU(team) . Ni muunganiko wa watu wengi yaani zaidi ya mmoja kwa lengo la kufanikisha jambo flani.

Sasa unampa mtu makosa ya team nzima , huu sio uungwana.
 
Ila huyu mwamba ni uchochoro au kuna sababu nyingine?

Haiwezekani beki bora unacheza dakika 90 ya mechi zote za CAF halafu unaaruhusu kamba 16. Upi umuhimu wako kwenye timu? Upi msaada wako kwenye timu?

Uwezo wako unasaidia vipi timu isifungwe?

Magoli 16 sio mchezo ndugu zangu, hayo ni mengi mno!

Halafi cha ajabu na kuchekesha zaidi ni kwamba amekuwa beki bora (MVO) huko kwao. Yaani unaruhusu kamba 16 na unakuwa MVP [emoji23][emoji23][emoji23]

Huyu mwana alikuwa analinda dhidi ya washambuliaji wa aina gani huko Cameroon?

Nina wasiwasi hata ubora wa ligi yao! Nadhani Ligi ya Uganda iko na ushindani zaidi ya Ligi ya Kamerooni.

Hata historia inasema hakuna timu ya Cameroon ambayo ni dominant kwenye soka la CAF kama ilivyo kwa KCCA na Vipers za Uganda.

Si ajabu Yanga SC watani zetu wameamua kuchukua beki (Gift Fred) kwenye ligi bora zaidi ya Cameroon.

View attachment 2682970View attachment 2682971View attachment 2682974
Taratibu bro. Unayapanikisha Makolodunduka huku, mara yanaweza kukuporomoshea matusi.
 
Saa zingine tujifunze kuwa watu wa mpira wa miguu na kiwasilisha hoja kiufundi kwa kuangalia strength na weakness za mchezaji. Lakini huu uwasilishaji wako umejikita kwenye kujitoa akili.

Mchezaji karuhusu goli 16 kwani timu nzima anacheza peke yake? Jadili mapungufu yake na sio mapungufu ya timu kwa ujumla. Magoli 16 kuna makosa ya kipa, ya mabeki wenzie, na wachezaji wengineo kwanini uhitimishe kwa madhaifu ya mtu mmoja?
😅🤣🤣
 
KIPA No1 WA arsenal Ramsdale.

Alishuka Daraja na timu mbili tofauti,
Leo ndiye Golikipa No 1 England.

Kwa MTINDO huo Malumo Galant. Imeshuka Daraja lakini wachezaji wao wameenda KAIZER CHEEF, ORANDO , MAMELODY NK.

HIVI NYIE MAAANDAZI MTAJUA LINI MPIRA
 
We kashabikie mdako tu,mpira tuachie wenye shughuli zetu
 
Kuna team inaitwa Coastal union ilikuwa inakula vipigi hadi kunusurika kushuka daraja mara kadhaa.
Ilipigwa hadi goli 8 na simba lakini Yanga wakaenda kutoa M 200 kumsajili beki wake ambaye hadi leo ni tegemeo kwa yanga Mwamnyeto.
Hii imekaaje mkuu?
 
Back
Top Bottom