Che Malone Karuhusu Magoli 16 CAFCL katika Mechi 6 Tu.

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Ila huyu mwamba ni uchochoro au kuna sababu nyingine?

Haiwezekani beki bora unacheza dakika 90 ya mechi zote za CAF halafu unaaruhusu kamba 16. Upi umuhimu wako kwenye timu? Upi msaada wako kwenye timu?

Uwezo wako unasaidia vipi timu isifungwe?

Magoli 16 sio mchezo ndugu zangu, hayo ni mengi mno!

Halafi cha ajabu na kuchekesha zaidi ni kwamba amekuwa beki bora (MVO) huko kwao. Yaani unaruhusu kamba 16 na unakuwa MVP [emoji23][emoji23][emoji23]

Huyu mwana alikuwa analinda dhidi ya washambuliaji wa aina gani huko Cameroon?

Nina wasiwasi hata ubora wa ligi yao! Nadhani Ligi ya Uganda iko na ushindani zaidi ya Ligi ya Kamerooni.

Hata historia inasema hakuna timu ya Cameroon ambayo ni dominant kwenye soka la CAF kama ilivyo kwa KCCA na Vipers za Uganda.

Si ajabu Yanga SC watani zetu wameamua kuchukua beki (Gift Fred) kwenye ligi bora zaidi ya Cameroon.

Screenshot_20230709-151710145.jpg
IMG_20230709_151857.jpg
20230709_151447.jpg
 
Saa zingine tujifunze kuwa watu wa mpira wa miguu na kiwasilisha hoja kiufundi kwa kuangalia strength na weakness za mchezaji. Lakini huu uwasilishaji wako umejikita kwenye kujitoa akili.

Mchezaji karuhusu goli 16 kwani timu nzima anacheza peke yake? Jadili mapungufu yake na sio mapungufu ya timu kwa ujumla. Magoli 16 kuna makosa ya kipa, ya mabeki wenzie, na wachezaji wengineo kwanini uhitimishe kwa madhaifu ya mtu mmoja?
 
Hili ni tatizo la kupenda timu badala ya mpira, Kongole kwa kutoa hoja nzuri.
 
Ila huyu mwamba ni uchochoro au kuna sababu nyingine?

Haiwezekani beki bora unacheza dakika 90 ya mechi zote za CAF halafu unaaruhusu kamba 16. Upi umuhimu wako kwenye timu? Upi msaada wako kwenye timu?

Uwezo wako unasaidia vipi timu isifungwe?

Magoli 16 sio mchezo ndugu zangu, hayo ni mengi mno!

Halafi cha ajabu na kuchekesha zaidi ni kwamba amekuwa beki bora (MVO) huko kwao. Yaani unaruhusu kamba 16 na unakuwa MVP [emoji23][emoji23][emoji23]

Huyu mwana alikuwa analinda dhidi ya washambuliaji wa aina gani huko Cameroon?

Nina wasiwasi hata ubora wa ligi yao! Nadhani Ligi ya Uganda iko na ushindani zaidi ya Ligi ya Kamerooni.

Hata historia inasema hakuna timu ya Cameroon ambayo ni dominant kwenye soka la CAF kama ilivyo kwa KCCA na Vipers za Uganda.

Si ajabu Yanga SC watani zetu wameamua kuchukua beki (Gift Fred) kwenye ligi bora zaidi ya Cameroon.

View attachment 2682970View attachment 2682971View attachment 2682974
Itoshe tu kusema

HUNA AKILI.
 
Angalau huyu kacheza hatua ya makundi CAFCL na timu bora katika kundi lake. Tupe na takwimu za Job na nyeto kwenye mashindano ya CAFCL . Yawezekana Yanga angekuwa kwenye hilo kundi angepigwa 20+
Kaacheza makundi lakini hana medali.

Hivyo ni sawa na wakina Kennedy Juma
 
Back
Top Bottom