Che Malone: Tatizo la Simba ni timu kwa ujumla sio mtu mmoja

Che Malone: Tatizo la Simba ni timu kwa ujumla sio mtu mmoja

Hawa wakina che Malone sindio walienda pre season uturuki wakijinasibu wamejiandaa vyema na wapo kamiligado kuivaa premier league, na uzur media ziliwamulikaaa hasa huyu aliongea sanaa kuhusu ubora wa timu,
[emoji23][emoji23]utawala umewwngusha
 
Jukumu la ukaimu wa usemaji si lake. Anayo yanayomhusu moja kwa moja kama mchezaji.
Akaimu kwani msemaji hayupo? Shida ni kwamba msemaji yupo ila hasemi. Unajua shida yetu wafrika, wale wenye mujukumu hawayafanyi, yakifanywa na wengine tunawalaumu.
 
Back
Top Bottom