Cheche za Msonda na Ngushi zang'aa Lupaso

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Hawa wachezaji wawili iwapo watatambua nafasi zao ndani ya kikosi cha Yanga ni dhahiri kabisa Yanga inakwenda kufanya makubwa msimu huu.

Sina shaka na uwezo wa Msonda iwapo atatumiwa vizuri na mawinga shaka yangu ni kwa Ngushi ambaye kiwango chake huathiriwa zaidi na majeruhi, ikiwa atakuwa fiti nawaona watupia mpira nyavuni wa nyumbani kutokea Yanga yaani Ngushi na Mzize.

Lakini kwa uwezo waliouonesha leo Chrispin Ngushi na Msonda itoshe kusema Yanga ya msimu huu inakwenda kufuta jina la Mayele midomoni mwa mashabiki wao na kupandisha jina jipya.
png_20230722_213315_0000.jpg
 
Binafsi nimeona improvement kwenye wings, lkn mzize sitabiri atakuja kuw striker mzr....ni mzito na hana akili kabsa....Yanga wasajili striker na namba kumi mwingne pia kimbwana shomari msimu ujao out au aongeze kiwango....kocha awe makin awe mama nabi ajue kushinda mechi hadi mechi kwa kutumia wachezaji wote.
 
.
#solomatv_updates View attachment 2696402
msonda angekuwa ngushi, max au mayele, leo hii yanga walitakiwa kushinda 3 bila. msona namwona ni wa kawaida sana hata aziz ki angekutana na mipira ile aliyokutana nayo, yalikuwa magoli yale.
 
Kuondoka kwa mayele pengine kumetoa nafasi kwa musonda kuonyesha kipaji chake Hata goli alilofunga ni aina ya magoli ya World Cup au Uefa CL
Ngushi Kumbe jamaa anakitu aliwekwa benchi bure na Nabi
Kiukweli kocha nimemwelewa anajua Kazi yake
 
Mzinze aendelee kuwepo kikosini ili angalau watu wengine wapate cha kusema.
Yanga ni timu ya wote, ikiwemo wasioipenda, hivyo wasioipenda nao wana haki ya kuwekewa nafasi yao ndani ya Yanga kwa kuhakikisha Yanga ina mchezaji aina ya Mzinze ambaye atakua akiwapa furaha na cha kusema.
 
msonda angekuwa ngushi, max au mayele, leo hii yanga walitakiwa kushinda 3 bila. msona namwona ni wa kawaida sana hata aziz ki angekutana na mipira ile aliyokutana nayo, yalikuwa magoli yale.
Ni kweli mkuu, Musonda jana kazingua.
 
Kuondoka kwa mayele pengine kumetoa nafasi kwa musonda kuonyesha kipaji chake Hata goli alilofunga ni aina ya magoli ya World Cup au Uefa CL
Ngushi Kumbe jamaa anakitu aliwekwa benchi bure na Nabi
Kiukweli kocha nimemwelewa anajua Kazi yake
Ngushi majeruhi mkuu
 
Ngushi msimu uliopita alikabiliana na majeruhi, japo pia asingepata namba. Ila bado ni mchezaji mzuri.
 
Hawa wachezaji wawili iwapo watatambua nafasi zao ndani ya kikosi cha Yanga ni dhahiri kabisa Yanga inakwenda kufanya makubwa msimu huu.

Sina shaka na uwezo wa Msonda iwapo atatumiwa vizuri na mawinga shaka yangu ni kwa Ngushi ambaye kiwango chake huathiriwa zaidi na majeruhi, ikiwa atakuwa fiti nawaona watupia mpira nyavuni wa nyumbani kutokea Yanga yaani Ngushi na Mzize.

Lakini kwa uwezo waliouonesha leo Chrispin Ngushi na Msonda itoshe kusema Yanga ya msimu huu inakwenda kufuta jina la Mayele midomoni mwa mashabiki wao na kupandisha jina jipya.
.
#solomatv_updates View attachment 2696402
tupo vizuri ila iyo iyo sehem ya striking force ndo inatakiwa isukwe haswa,bado inatia shaka...kaizer jana ali deserve kupigwa goli 3+
 
MAYELE ALIKUWA ni mshambuliaji HATARI mno.

Msijifariji kuwalimganisha hai WATOTO na Mayele.

UTOPOLO pimbi sana
 
Back
Top Bottom