Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Hawa wachezaji wawili iwapo watatambua nafasi zao ndani ya kikosi cha Yanga ni dhahiri kabisa Yanga inakwenda kufanya makubwa msimu huu.
Sina shaka na uwezo wa Msonda iwapo atatumiwa vizuri na mawinga shaka yangu ni kwa Ngushi ambaye kiwango chake huathiriwa zaidi na majeruhi, ikiwa atakuwa fiti nawaona watupia mpira nyavuni wa nyumbani kutokea Yanga yaani Ngushi na Mzize.
Lakini kwa uwezo waliouonesha leo Chrispin Ngushi na Msonda itoshe kusema Yanga ya msimu huu inakwenda kufuta jina la Mayele midomoni mwa mashabiki wao na kupandisha jina jipya.