Chechefu mahakamani tena

Chechefu mahakamani tena

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
CHECHEFU MAHAKAMANI TENA

Safari hii ni kampuni ya NAS HAULIERS iliyokopa bilioni 50 ikakataa kulipa na kukimbilia mahakamani ikiishitaki benki iliyofanikisha mkopo

- ikitetewa na wakili yule yule mzee wa Mikopo chechefu, Mahakama ikaipa ushindi

- Leo inapandishwa kizimbani Mahakama ya Rufaa mbele ya majaji watatu

- Mbivu na mbichi ni mbele ya Jaji Mkuye, Jaji Mwampashi na Jaji Muruke watakaoketi kusikiliza kesi

- Jamvilahabari kuupasha umma mwanzo mwisho

Na. Mwandishi wetu,

Mahakama ya Rufaa chini ya majaji watatu Mkuye, Mwampashi na Jaji muruke leo wanataraji kuketi kusikiliza shauri la aina yake baina ya benki ya Equity dhidi ya kampuni ya NAS HAULIERS shauri la madai linalopinga hukumu iliyowapa ushindi kampuni ya NAS dhidi ya benki hiyo hukumu inayotajwa kuwa na mazongezonge kwa kuruhusu mkopaji kutokulipa mkopo licha ya kukiri mahakamani kuwa alikopa na benki hiyo ndio iliyomfanilishia upatikanaji wa mkopo huo kwa yenyewe kutoa hati ya barua (Later of credit) kwa mkopeshaji aliyepo nje ya nchi

Ni katika kesi ambayo hukumu yake inapingwa mahaka ya Rufaa na kutaraji kusikilizwa leo ndipo mlalamikaji NAS HAULIERS anakiri kupokea mkopo wa kiasi cha dola milioni 16 (wastani za bilioni 40) za kitanzania ambazo anaeleza kuwa alizitumia kufuta mikopo aliyokuwa anadaiwa na mabenki kadhaa hapa nchini na kiasi kingine kukitumia kama mtaji wa uendeshaji (working Capital) lakini mahakama ikamtangaza mkopaji huyo kuwa hadaiwi na hastahili kulipa mkopo huo

Katika mazingira yanayotiliwa shaka na kuuweka hatiani weledi na heshima ya Mahakama, ni pamoja na kitendo cha mkopeshaji anayefahamika kama Lamar kutoka Dubai kukiri mbele ya mahakama kuwa aliikopesha kampuni ya NAS kwa kudhaminiwa na Banki ya Equity kwa kutoa letter of Credit na kwamba NAS HAULIERS waliposhindwa kurudisha mkopo kama ilivyokubaliana katika makubaliano yao Equity walikuwa na wajibu wa kuulipa mkopo huo, bado mahakama haikuona kama kuna haja ya NAS kulipa mkopo huo na badala yake akapewa ushindi

Rufaa hiyo inayotaraji kusikilizwa leo inategemewa kuvuta hisia za wafuatiliaji wengi kutokana na ukweli kwamba hukumu ya kesi hiyo imestaajabisha watu wengi sana nchini na ndani ya nchi

" Ni bahati mbaya tu jambo lipo Mahakamani hivyo si vyema kulijadili na kulichambua, ila ukweli usemwe tuu. Ukisoma hukumu ile unaweza usiamini kama ni jaji anayetegemewa na jamii kutenda haki ndio ametoa hukumu ile. Havieleweki kwa kweli". Anasema Josh Manga mtaalam wa Sheria za kodi

"hata wakili mwalongo alipojitokeza hadharani kufanya alichokiita kuwanasua wateja wake, haikupaswa kuwa ilivyokuwa. Wakili ameibua maswali mazito kuliko majibu aliyotaraji kutoa". Ameongeza

Ameongeza kuwa Mahakama ya Rufaa ni sehemu ya mwisho katika mfumo wa utoaji wa haki na kwamba namna yotote ya kuona haki imechezewa huku chini, basi mahakama ya Rufaa inategemewa kusimama imara kutenda haki

Hivi karibuni gazeti hili lilipoti kuwa

Jitihada za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kukaribisha na kuhamasisha uwekezaji wa ndani na kutoka nje ya nchi kuja kuwekeza nchini unaelezwa kutiwa kigingi na tabia chafu inayozidi kuota mizizi ya baadhi ya wafanyabiashara wakubwa kushirikiana na baadhi ya majaji wa mahakama kuu wasio waaminifu kuyatapeli mabenki ya ndani na nje ya nchi kwa na hivyo kuwanyima fursa wafanyabiashara wadogo na wakati kushindwa kuaminiwa na kupata mikopo.

Orodha ya wafanyabiashara wanaotumia mahakama kutapeli na kudhulumu mabenki iliyofanyiwa uchunguzi na kuthibitishwa na gazeti hili, inaonyesha kuwa wengi kati ya wafanyabiashara hao wanajihusisha na biashara za Mafuta na ushafirishaji ambapo wastani wa shilingi za kitanzania Trilioni 1.3 wamekopa katika benki mbalimbali za ndani nan je ya nchi na kukataa kulipa kisha kukimbilia mahakamani ambako pia wanadaiwa kupata ushindi kwa njia zisizo za kawaida ZAIDI.

Gazeti hili litaendelea kuweka wazi mchezo wote

IMG-20240506-WA0115.jpg
 
Wenye pesa wanashinda wenyewe Kwa wenyewe acha tuone mwisho wake .

Billion 50 aiseee n mzgo mzito sanaa
 
View attachment 2982259
NAS ni wezi, lakini vile vile chunguzeni sana Equity Bank ni wezi vile vile.
Ngoma kwangu ni draw.
NB Niliwahi kuwa mteja wa Equity Bank, nilikoma ubishi kwa hawa wakenya,
 
Mkuye, Mwampashi na Jaji muruke
Hawa majaji ......................sijui.........................lakini kwa vile kesi haina msukumo wa kisiasa haki inaweza kutendeka..................ngoja tuone outcome.....
 
Huwa tunasema kuna majaji ambao weledi na "vitendo vyao uvu" hawakustahili sio tu kuwa majaji bali hata kuwa mahakimu wa mahakama za mwanzo
 
CHECHEFU MAHAKAMANI TENA

Safari hii ni kampuni ya NAS HAULIERS iliyokopa bilioni 50 ikakataa kulipa na kukimbilia mahakamani ikiishitaki benki iliyofanikisha mkopo

- ikitetewa na wakili yule yule mzee wa Mikopo chechefu, Mahakama ikaipa ushindi

- Leo inapandishwa kizimbani Mahakama ya Rufaa mbele ya majaji watatu

- Mbivu na mbichi ni mbele ya Jaji Mkuye, Jaji Mwampashi na Jaji Muruke watakaoketi kusikiliza kesi

- Jamvilahabari kuupasha umma mwanzo mwisho

Na. Mwandishi wetu,

Mahakama ya Rufaa chini ya majaji watatu Mkuye, Mwampashi na Jaji muruke leo wanataraji kuketi kusikiliza shauri la aina yake baina ya benki ya Equity dhidi ya kampuni ya NAS HAULIERS shauri la madai linalopinga hukumu iliyowapa ushindi kampuni ya NAS dhidi ya benki hiyo hukumu inayotajwa kuwa na mazongezonge kwa kuruhusu mkopaji kutokulipa mkopo licha ya kukiri mahakamani kuwa alikopa na benki hiyo ndio iliyomfanilishia upatikanaji wa mkopo huo kwa yenyewe kutoa hati ya barua (Later of credit) kwa mkopeshaji aliyepo nje ya nchi

Ni katika kesi ambayo hukumu yake inapingwa mahaka ya Rufaa na kutaraji kusikilizwa leo ndipo mlalamikaji NAS HAULIERS anakiri kupokea mkopo wa kiasi cha dola milioni 16 (wastani za bilioni 40) za kitanzania ambazo anaeleza kuwa alizitumia kufuta mikopo aliyokuwa anadaiwa na mabenki kadhaa hapa nchini na kiasi kingine kukitumia kama mtaji wa uendeshaji (working Capital) lakini mahakama ikamtangaza mkopaji huyo kuwa hadaiwi na hastahili kulipa mkopo huo

Katika mazingira yanayotiliwa shaka na kuuweka hatiani weledi na heshima ya Mahakama, ni pamoja na kitendo cha mkopeshaji anayefahamika kama Lamar kutoka Dubai kukiri mbele ya mahakama kuwa aliikopesha kampuni ya NAS kwa kudhaminiwa na Banki ya Equity kwa kutoa letter of Credit na kwamba NAS HAULIERS waliposhindwa kurudisha mkopo kama ilivyokubaliana katika makubaliano yao Equity walikuwa na wajibu wa kuulipa mkopo huo, bado mahakama haikuona kama kuna haja ya NAS kulipa mkopo huo na badala yake akapewa ushindi

Rufaa hiyo inayotaraji kusikilizwa leo inategemewa kuvuta hisia za wafuatiliaji wengi kutokana na ukweli kwamba hukumu ya kesi hiyo imestaajabisha watu wengi sana nchini na ndani ya nchi

" Ni bahati mbaya tu jambo lipo Mahakamani hivyo si vyema kulijadili na kulichambua, ila ukweli usemwe tuu. Ukisoma hukumu ile unaweza usiamini kama ni jaji anayetegemewa na jamii kutenda haki ndio ametoa hukumu ile. Havieleweki kwa kweli". Anasema Josh Manga mtaalam wa Sheria za kodi

"hata wakili mwalongo alipojitokeza hadharani kufanya alichokiita kuwanasua wateja wake, haikupaswa kuwa ilivyokuwa. Wakili ameibua maswali mazito kuliko majibu aliyotaraji kutoa". Ameongeza

Ameongeza kuwa Mahakama ya Rufaa ni sehemu ya mwisho katika mfumo wa utoaji wa haki na kwamba namna yotote ya kuona haki imechezewa huku chini, basi mahakama ya Rufaa inategemewa kusimama imara kutenda haki

Hivi karibuni gazeti hili lilipoti kuwa

Jitihada za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kukaribisha na kuhamasisha uwekezaji wa ndani na kutoka nje ya nchi kuja kuwekeza nchini unaelezwa kutiwa kigingi na tabia chafu inayozidi kuota mizizi ya baadhi ya wafanyabiashara wakubwa kushirikiana na baadhi ya majaji wa mahakama kuu wasio waaminifu kuyatapeli mabenki ya ndani na nje ya nchi kwa na hivyo kuwanyima fursa wafanyabiashara wadogo na wakati kushindwa kuaminiwa na kupata mikopo.

Orodha ya wafanyabiashara wanaotumia mahakama kutapeli na kudhulumu mabenki iliyofanyiwa uchunguzi na kuthibitishwa na gazeti hili, inaonyesha kuwa wengi kati ya wafanyabiashara hao wanajihusisha na biashara za Mafuta na ushafirishaji ambapo wastani wa shilingi za kitanzania Trilioni 1.3 wamekopa katika benki mbalimbali za ndani nan je ya nchi na kukataa kulipa kisha kukimbilia mahakamani ambako pia wanadaiwa kupata ushindi kwa njia zisizo za kawaida ZAIDI.

Gazeti hili litaendelea kuweka wazi mchezo wote

View attachment 2982259
Serikali ya Samia ndio sababu ya wahuni kupata ujasiri wa hadi kuzipiga benki. Eti kila kigogo ale kwa urefu wa kamba yake. Ona sasa vigogo mahakamani hadi majaji wanakula kwa urefu wa kamba zao za malisho. Wajibu wa kwanza wa serikali ni kuhakikisha nchi inakua na utawala wa haki. Sio kujiunga kwenye band wagon eti utawala wa sheria na uhuru wa mahakama badala ya kusimamia mahakama kwa kuhakikisha hakuna wauza haki na wanunuzi wa haki.
 
CHECHEFU MAHAKAMANI TENA

Safari hii ni kampuni ya NAS HAULIERS iliyokopa bilioni 50 ikakataa kulipa na kukimbilia mahakamani ikiishitaki benki iliyofanikisha mkopo

- ikitetewa na wakili yule yule mzee wa Mikopo chechefu, Mahakama ikaipa ushindi

- Leo inapandishwa kizimbani Mahakama ya Rufaa mbele ya majaji watatu

- Mbivu na mbichi ni mbele ya Jaji Mkuye, Jaji Mwampashi na Jaji Muruke watakaoketi kusikiliza kesi

- Jamvilahabari kuupasha umma mwanzo mwisho

Na. Mwandishi wetu,

Mahakama ya Rufaa chini ya majaji watatu Mkuye, Mwampashi na Jaji muruke leo wanataraji kuketi kusikiliza shauri la aina yake baina ya benki ya Equity dhidi ya kampuni ya NAS HAULIERS shauri la madai linalopinga hukumu iliyowapa ushindi kampuni ya NAS dhidi ya benki hiyo hukumu inayotajwa kuwa na mazongezonge kwa kuruhusu mkopaji kutokulipa mkopo licha ya kukiri mahakamani kuwa alikopa na benki hiyo ndio iliyomfanilishia upatikanaji wa mkopo huo kwa yenyewe kutoa hati ya barua (Later of credit) kwa mkopeshaji aliyepo nje ya nchi

Ni katika kesi ambayo hukumu yake inapingwa mahaka ya Rufaa na kutaraji kusikilizwa leo ndipo mlalamikaji NAS HAULIERS anakiri kupokea mkopo wa kiasi cha dola milioni 16 (wastani za bilioni 40) za kitanzania ambazo anaeleza kuwa alizitumia kufuta mikopo aliyokuwa anadaiwa na mabenki kadhaa hapa nchini na kiasi kingine kukitumia kama mtaji wa uendeshaji (working Capital) lakini mahakama ikamtangaza mkopaji huyo kuwa hadaiwi na hastahili kulipa mkopo huo

Katika mazingira yanayotiliwa shaka na kuuweka hatiani weledi na heshima ya Mahakama, ni pamoja na kitendo cha mkopeshaji anayefahamika kama Lamar kutoka Dubai kukiri mbele ya mahakama kuwa aliikopesha kampuni ya NAS kwa kudhaminiwa na Banki ya Equity kwa kutoa letter of Credit na kwamba NAS HAULIERS waliposhindwa kurudisha mkopo kama ilivyokubaliana katika makubaliano yao Equity walikuwa na wajibu wa kuulipa mkopo huo, bado mahakama haikuona kama kuna haja ya NAS kulipa mkopo huo na badala yake akapewa ushindi

Rufaa hiyo inayotaraji kusikilizwa leo inategemewa kuvuta hisia za wafuatiliaji wengi kutokana na ukweli kwamba hukumu ya kesi hiyo imestaajabisha watu wengi sana nchini na ndani ya nchi

" Ni bahati mbaya tu jambo lipo Mahakamani hivyo si vyema kulijadili na kulichambua, ila ukweli usemwe tuu. Ukisoma hukumu ile unaweza usiamini kama ni jaji anayetegemewa na jamii kutenda haki ndio ametoa hukumu ile. Havieleweki kwa kweli". Anasema Josh Manga mtaalam wa Sheria za kodi

"hata wakili mwalongo alipojitokeza hadharani kufanya alichokiita kuwanasua wateja wake, haikupaswa kuwa ilivyokuwa. Wakili ameibua maswali mazito kuliko majibu aliyotaraji kutoa". Ameongeza

Ameongeza kuwa Mahakama ya Rufaa ni sehemu ya mwisho katika mfumo wa utoaji wa haki na kwamba namna yotote ya kuona haki imechezewa huku chini, basi mahakama ya Rufaa inategemewa kusimama imara kutenda haki

Hivi karibuni gazeti hili lilipoti kuwa

Jitihada za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kukaribisha na kuhamasisha uwekezaji wa ndani na kutoka nje ya nchi kuja kuwekeza nchini unaelezwa kutiwa kigingi na tabia chafu inayozidi kuota mizizi ya baadhi ya wafanyabiashara wakubwa kushirikiana na baadhi ya majaji wa mahakama kuu wasio waaminifu kuyatapeli mabenki ya ndani na nje ya nchi kwa na hivyo kuwanyima fursa wafanyabiashara wadogo na wakati kushindwa kuaminiwa na kupata mikopo.

Orodha ya wafanyabiashara wanaotumia mahakama kutapeli na kudhulumu mabenki iliyofanyiwa uchunguzi na kuthibitishwa na gazeti hili, inaonyesha kuwa wengi kati ya wafanyabiashara hao wanajihusisha na biashara za Mafuta na ushafirishaji ambapo wastani wa shilingi za kitanzania Trilioni 1.3 wamekopa katika benki mbalimbali za ndani nan je ya nchi na kukataa kulipa kisha kukimbilia mahakamani ambako pia wanadaiwa kupata ushindi kwa njia zisizo za kawaida ZAIDI.

Gazeti hili litaendelea kuweka wazi mchezo wote

View attachment 2982259
Jaji aliyetoa maamuzi hayo alikula RUSHWA tu. Tusipepese macho.

NAS HAULERS anashindaje kesi kwa mkopo aliouchukua na HAJALIPA?

Tuangalie checklist ya kudeal na defaulters kwenye mabenki.

1. Kuna proof kuwa mkopo uliombwa na kuchukuliwa na the correct, responsible na accountable kwa kampuni?
2. Disbursements zilifanyika as agreed by the two parties?
3. Was the loan 'appropriately' secured?
4. Has the borrower serviced the loan as required?
5. Does the bank agree on the borrower's current conditions in settling the loan?
6. So what is the issue in court?

Sasa hizi issue ya NAS kushinda kesi ni maajabu. Corruption ya loan officers ni issue kweli, lakini kama mkopo uko secured properly, process ya bank ku attach na kuuza ililegezwa na kuwa straight forward.

Ikiwa customer anataka kushtaki rushwa aliyotoa, hiyo ni separate case. And no customer would come forward na kusema, 'ili kupata huu mkopo, nilimpa Chairman wa Board' rushwa. It could be true, lakini hiyo Ina process yake ngumu, kidogo. Ndiyo maana hizo kesi hatuzisikii sana kesi za namna hii.

Sasa hii ya watu kushinda kesi, ikiwa pesa walichukua na wakatoa collateral za kutosha huo mkopo, sielewi Jaji wa Mahakama Kuu alitumia vigezo gani?
Kwamba hawakuchukuwa mikopo, au wamekwisha service loan yote?
 
Nikija kuomba mkopo bank ukianza kuniwekea vikwazo ili nikupe rushwa ntakupa kweli rushwa ila nami ntaandaa mazingira ya kukumiza mahali hasa kwenye marejesho.

Maafisa wa bank acheni kuomba rushwa kwa wateja wenu.
 
Zamani walikuwa wanaenda na bunduki.. Sasa hivi wanatumia mahakama kuziibia benki..
 
Back
Top Bottom