Checkers ni mchezo wenye uelevu na maono ya sirini

code inasoma : jiwe katawala miaka 6 akaliw na kingi + 4 ya mama=10 ,wakuu iv eleksheni ni mwez wangap? huenda kete1 nayo ikaliwa naking.. kuna swali lnajtokea nan king sasa!
 
Kuna awamu SITA za uongozi awamu nne zimeshatangulia ambazo ni mchonga,ruksa,lodilofa na chuma!

Awamu zilizobaki ni 6 na 4,jumla Yao ni 10 mwezi wa uchaguzi!!awamu ya mwisho kuondoka ni ya pili mwaka jana 2024 ambaye ni ruksa!!

Sasa je kabla ya jumla kuu (mwezi wa 10) ya kete mbili zilizobaki zitakua zimeliwa!!?

Unamaanisha hivyo!!?

Ngoja tuone!!
 
Kete 4 hii kete inapita mtari mkuu kama king.
Hii kete sizani kama kuna wa kuila sizani.
Ukigeuza draft kuna kete upande wa pili zimevurugwa zikadondoka zikabaki kete mbili.
Moja imezuiliwa haiwezi sogea moja inacheza lakini haiwezi kula kete za mpinzani..
Yote na yote kete zinasukumwa kama kawaida.
 
Yuko nyuma ya pazia,kete yake itapigwa pia kama kete ya drafti ya awamu ya 1,2,3 na ya 5 ilivyopigwa
Aiseh!!nilimuamini sana!

Labda ndio maana kondakta alitumwa amzabe kibao kipindi kile!labda alikwamisha mchakato ule maksudi!!!sad!
 
Mkuu uko sawa kabsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…