Checkers ni mchezo wenye uelevu na maono ya sirini

Mwaka ni mwaka wa neema na ni mwaka wa huzuni kuu kwa baadhi
Lakini mkuu dafti linachezwa na pande 2, kila upande unajaribu kuchek na kucalculate moves za upande wa pili na kufanya counter attack. Nadhani wachezaji wote ni wabobevu kwenye hili game, mchora draft ndo muamua mechi?
 
Heri mwerevu, heri mwenye hekima maana ataona ya sirini, katika checkers hii inahitaji hekima kuifungua code yake
 
Lakini mkuu dafti linachezwa na pande 2, kila upande unajaribu kuchek na kucalculate moves za upande wa pili na kufanya counter attack. Nadhani wachezaji wote ni wabobevu kwenye hili game, mchora draft ndo muamua mechi?
"The state na st.peters ni taasisi tofauti,pale st.peters Kuna wenye kulinda wakubwa na wanafikiri wanazo means za kuyaacha mambo yakabaki hivi hivi,watakaushwa kimya kimya na baada ya muda hawatokuwepo!!lakini the state imetoa mpaka mwakani(2022)mchakati wa katiba mpya uwe umeanza rasmi,nasikitika kusema mtajwa asipofanya hivyo hadi mwakani itakua too late kwake"By Tumia akili kwenye Uzi "operation imesitishwa the state amesema apewe muda!!

NB.
Hizo pande mbili ziliwekwa na hao the state Sasa ,ukiona wametia taarifa kupitia Uzi wa "Brother" maana yake "process"tayari IPO kwa blood stream ya wahusika kupisha mchakato mkuu wa reforms!!

Nadhani,nawaza!naomba Mungu!!

KAZI na utu tunasonga mbele!
 
Hizi codes kweli ngumu, zinahitaji hekima na akili ya kutosha sana. Its like sitting on the same table with your enemy and devising strategies of destroying each other, At the end one becomes the winner. It looks funny.
 
Mbona kama wanataka kete kongwe zote ziliwe tubaki wenyewe!!?patatosha kweli!!

Hiyo kete ilioshindwa uenyekiti na yule mlemavu na Sasa Inashiriki ku destabilize process ya NRN mayo itadumu!?au shall return to roost!!?
Checkers kete zake zote zitaliwa
 
Mbona kama wanataka kete kongwe zote ziliwe tubaki wenyewe!!?patatosha kweli!!

Hiyo kete ilioshindwa uenyekiti na yule mlemavu na Sasa Inashiriki ku destabilize process ya NRN mayo itadumu!?au shall return to roost!!?
Kunakete mpya yenye tittle ya mwalimu itatokea kwenye hii checkers ndio itafanya reforms kwenye checkers hii
 
Red army ndo kikosi gani?
 
Kete Ngumu sana hii ni ya moto sana ila kila kubwa ina kubwa yake
 
Sisi wacheza Chess hatujui kitu kuhusu checkers/draught...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…