Checkers ni mchezo wenye uelevu na maono ya sirini

Mi nadhani ikiliwa 4 huyu 6 ni kama kumsukuma mlevi tu na checkers wataneemeka. Lakini ikiliwa 6 kwanza kabla ya 4, naona kama safari itakua ndefu kidogo kwa chekers kufikia neema. 🤔
 
Mi nadhani ikiliwa 4 huyu 6 ni kama kumsukuma mlevi tu na checkers wataneemeka. Lakini ikiliwa 6 kwanza kabla ya 4, naona kama safari itakua ndefu kidogo kwa chekers kufikia neema. 🤔
Mpangilio!6+4=10,yaani 6 kwanza au!!labda wanadhani wakianza na 4 nne,SITA 6 atapanic sana na kumimina ghadhabu Kwa hata wasio husika na damage yaweza kuwa kubwa ama!!?
 
Mpangilio!6+4=10,yaani 6 kwanza au!!labda wanadhani wakianza na 4 nne,SITA 6 atapanic sana na kumimina ghadhabu Kwa hata wasio husika na damage yaweza kuwa kubwa ama!
Nimekusoma! Kwa hoja uliyoweka naungana na wewe, Anyways busara inahitajika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…