Huwezi kushindana na tajiri.Chege naye kaanza lini uchawa!
Bangi Mbaya sana.Kwahiyo Kiroboto mzee wa ugali manjali pilipili kwa mbali anataka kulipwa 10M kwa dakika 15 za kuimba mgambo wanaruka na kukanyagana?
Nature aheshimiwe kwa maamuzi yake,kila msanii ana price tag yake ya kuperform jukwaani,Hata Mondi alikosana na Ruge kisa maslahi.Kwahiyo Kiroboto mzee wa ugali manjali pilipili kwa mbali anataka kulipwa 10M kwa dakika 15 za kuimba mgambo wanaruka na kukanyagana?
Ili aheshimiwa ilibadi pale waliposhindwana maslahi binafsi wayamalize hukohuko kiofisi, kitendo cha kuibua hoja mitandaoni ni kuruhusu kila mtu atoe maoni kwa mtizamo wake kwahiyo kukosolewa anastahili pia kama vile anavuostahili kusifiwa na wanoona yuko sawaNature aheshimiwe kwa maamuzi yake,kila msanii ana price tag yake ya kuperform jukwaani,Hata Mondi alikosana na Ruge kisa maslahi.
Bongo5Source ya habari yako please kabla hatujachangia.
Watu wengi hawajui tofauti ya ajibu na hajibu.edit kichwa cha habari basi maana kina mkanganyiko; hajibu au amejibu?
Hakuibua mtandaoni Bali alijibu kwanini ametangazwa na hajaonekanaIli aheshimiwa ilibadi pale waliposhindwana maslahi binafsi wayamalize hukohuko kiofisi, kitendo cha kuibua hoja mitandaoni ni kuruhusu kila mtu atoe maoni kwa mtizamo wake kwahiyo kukosolewa anastahili pia kama vile anavuostahili kusifiwa na wanoona yuko sawa
Typing erroredit kichwa cha habari basi maana kina mkanganyiko; hajibu au amejibu?
Kujibu ndo kuibua mjadala siyo kila jambo ni la kujibu, mengine anatakiwa achukue hatua na kukaa kimya, hatua ndo kama hiyo kukataa, sasa kukataa na kuweka makubaliano hadharani wakat awali ilikua ni siri ya yake na boss wake hapo ndo aliporuhusu mijadalaHakuibua mtandaoni Bali alijibu kwanini ametangazwa na hajaonekana
Asingejibu angeweza kuzushiwa chochote Kama utapeli au hata waandaaji nao wangeonekana matapeli.Kujibu ndo kuibua mjadala siyo kila jambo ni la kujibu, mengine anatakiwa achukue hatua na kukaa kimya, hatua ndo kama hiyo kukataa, sasa kukataa na kuweka makubaliano hadharani wakat awali ilikua ni siri ya yake na boss wake hapo ndo aliporuhusu mijadala
Siyo watu wengi, bali watu wasiojuwa kusoma na kuandika.Watu wengi hawajui tofauti ya ajibu na hajibu.
Ambae angezushiwa utapeli ni muajiri wake na siyo yeyeAsingejibu angeweza kuzushiwa chochote Kama utapeli au hata waandaaji nao wangeonekana matapeli.
Hata yeye Kama ametangazwa kwanini hatokeiAmbae angezushiwa utapeli ni muajiri wake na siyo yeye