Chege ajibu madai ya Juma Nature kulipwa laki 5 tamasha la Wasafi

Asingejibu angeweza kuzushiwa chochote Kama utapeli au hata waandaaji nao wangeonekana matapeli.
Kwani angejibu mkataba haiko sawa angepungukiwa na nini?

Msiwatete watu wajinga Wasafi ni taasisi iko pale na yeye kama msanii anahitaji kuwa nao kwenye good terms, sasa leo Wasafi reaction yao ikiwa ni kumtema jumla kwenye media yao unadhani Nature haitomuumiza?

Na matamasha yataendelea kila mwaka hupewi shavu matokeo yake unafanya show Liquid pub kwa laki moja.
 
Yeye ameanza Sanaa wakati wasafi hata hawajulikani hivyo anajua ni kitu gani anaongea.
Kama ni faida au siyo faida yeye ndio anajua wengine tusubiri burudani.
 
Mimi sihadithiwi kuhusu Nature, alikuja Uingereza akabaki hotelini kwenye show akaja Inspector Haroun peke yake, hii siyo Mara yake ya kwanza kufanya ujinga huu, halafu nahisi ana matatizo serious ya kimila ambayo wengi hawajui au walio karibu hawamwambii.

Hili jukwaa siku hizi tumewaachia vijana, maana ukicomment uhalisia unaingizwa kwenye vita za makundi, tulishatoka huko.

Ila ukweli wanaomchukia Diamond wanajisumbuwa bure, yuko next level.
 
Kwani angejibu mkataba haiko sawa angepungukiwa na nini?

Msiwatete watu wajinga Wasafi ni taasisi iko pale na yeye kama msanii anahitaji kuwa nao kwenye good terms, sasa leo Wasafi reaction yao ikiwa ni kumtema jumla kwenye media yao unadhani Nature haitomuumiza?

Na matamasha yataendelea kila mwaka hupewi shavu matokeo yake unafanya show Liquid pub kwa laki moja.
Wewe mpuuzi,Juma Nature yupo kwenye industry ya music kabla ya hao wasafi,wewe ni chawa usiyetumia akili kubuild ur argument.
 
Kaka tupe uzoefu Marekani uko kina Jermaine Dupri wanalipwaje kwa show zao za sasa?
Inategemea na event, Dupri si rapper ni produver zaidi, na si popular sana kwa sasa, la kini kwa mujibu wa mitandao ya kufuatikia gharama za ku book ma celebrity, kum book Dupri kwa show/event moja ni kati ya dola za Kimarekani 40,000 na 75,000.

Siyo watu wengi, bali watu wasiojuwa kusoma na kuandika.

Haiwezekani ujuwe kusoma na kuandika kingereza usijuwe tofauti ya can na can't, Thomson na Thompson.
Ujuwe=ujue.Unamkosoa mwenzako,muda huohuo nawewe unakosea.Labda ni typing error tu.
 
Inategemea na event, Dupri si rapper ni produver zaidi, na si popular sana kwa sasa, la kini kwa mujibu wa mitandao ya kufuatikia gharama za ku book ma celebrity, kum book Dupri kwa show/event moja ni kati ya dola za Kimarekani 40,000 na 75,000.

Kwa uchumi wa Marekani ni sawa, maana kwa hesabu za kwetu inabidi tuondoe sufuri mbili. Ndio viwango wanastahiki legends wetu.
 
Watu wasiojua Kiingereza uchumi wao unaishia Sirari.

Yani hata interviews za radio stations za Nairobi na Kampala zinaweza kuwapa shida.

Weee huoni hata Harmonize anajiongeza?
 
Msanii anayeunda kundi la TNC ( Temba, sir nature na chege) chege amefunguka kuwa amestajabishwa na comment ya Sir Nature sina uhakika Yule ni nature mwenyewe kwenye social media kudai kalipwa laki 5 ameongea kuwa nyuma ya nature kuna watu wanampoteza afanye ujinga kwasababu sizani diamond anaweza kumlipa hiyo hela sisi wenzake hatujapewa hela kama hiyo iweje iwe yeye? Ameuliza kuna vitu havijakaa sawa yeye na watu ambao wapo nyuma yake.

NB: Wadau naona sakata linakuwa zito sijui tumuamini nani na nini maoni yenu
Chawa akiwa mbea basi hapakalkki
 
Kwani angejibu mkataba haiko sawa angepungukiwa na nini?

Msiwatete watu wajinga Wasafi ni taasisi iko pale na yeye kama msanii anahitaji kuwa nao kwenye good terms, sasa leo Wasafi reaction yao ikiwa ni kumtema jumla kwenye media yao unadhani Nature haitomuumiza?

Na matamasha yataendelea kila mwaka hupewi shavu matokeo yake unafanya show Liquid pub kwa laki moja.
Wakimpa Shows inaongeza nini?
Wakimnyima shows inapunguza nini?
Wasipompa Airtime ina athari gani kwake?
Ukishajiuliza haya maswali, unagundua Nature hawahitaji Wasafi kwa lolote.
 
Wakimpa show anaongeza pesa, wakimnyima show anapunguza pesa, wasipompa airtime ina athari kubwa, kama hujui nguvu ya airtime angalia coca cola mpaka Watoto wadogo wanaijuwa lakini ndio kwanza inawekeza nguvu kubwa kwenye matangazo na promotion.

Nature anawahitaji Wasafi kuliko Wasafi wanavyomuhitaji Nature, huu ndio ukweli mtupu.
 
Watu wasiojua Kiingereza uchumi wao unaishia Sirari.

Yani hata interviews za radio stations za Nairobi na Kampala zinaweza kuwapa shida.

Weee huoni hata Harmonize anajiongeza?
🤣🤣Mkuu unawadevalue wasanii wetu sasa🤔
 
Back
Top Bottom