Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kwani angejibu mkataba haiko sawa angepungukiwa na nini?Asingejibu angeweza kuzushiwa chochote Kama utapeli au hata waandaaji nao wangeonekana matapeli.
Msiwatete watu wajinga Wasafi ni taasisi iko pale na yeye kama msanii anahitaji kuwa nao kwenye good terms, sasa leo Wasafi reaction yao ikiwa ni kumtema jumla kwenye media yao unadhani Nature haitomuumiza?
Na matamasha yataendelea kila mwaka hupewi shavu matokeo yake unafanya show Liquid pub kwa laki moja.