Cheka na watu uweze kuvaa viatu

Cheka na watu uweze kuvaa viatu

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Nimekutana na huu msemo kwenye jamii fulani, 'cheka na watu uweze kuvaa viatu'.nimeutafakari sana na mpaka sasa sijajua maana yake wakuu.Nisaidieni una maana gani?
 
Tengeneza koneksheni maana mafanikio yako yatasababishwa au kurahisishwa na mtu mwingine
 
Hata sijui kemikali gani inatokea baada ya kuunganisha hizo semi mbili.....
Fanya urudi ukaulizie si bado hiyo jamii ipo?
Elimu haina mwisho ngoja nichimbue zaidi
 
Back
Top Bottom