Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Nimekutana na huu msemo kwenye jamii fulani, 'cheka na watu uweze kuvaa viatu'.nimeutafakari sana na mpaka sasa sijajua maana yake wakuu.Nisaidieni una maana gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha mkuu ina maana gani hiyo?Hizi equation za maneno umezianza lini?
Hata sijui kemikali gani inatokea baada ya kuunganisha hizo semi mbili.....ha ha ha mkuu ina maana gani hiyo?
Elimu haina mwisho ngoja nichimbue zaidiHata sijui kemikali gani inatokea baada ya kuunganisha hizo semi mbili.....
Fanya urudi ukaulizie si bado hiyo jamii ipo?
Kweli mkuu nakubaliana na weweTengeneza koneksheni maana mafanikio yako yatasababishwa au kurahisishwa na mtu mwingine
ha ha ha haKamuulize jeikei
Kweli mkuu,hiyo imewatoa wengi sanaConnection mzee Baba