Fred Katulanda
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 380
- 550
Samahani nimekuibia siriya Usalama wa Taifa, Eti Bi Kidude ameacha watoto wawili tu, Pinda na Wasira!! tafadhari usimwambie mtu. Watakung'oa kucha bila ganzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
japo ni jukwaa la jokes, lakini si vizuri kumsema marehemu na ujinga kama huu, just imagine angekua ni mama yako mdogo au shangazi yako then unakuja kwenye jukwaa ili then unakuta maneno kama uliyoandika? :ban:
hiyo nomaajapo ni jukwaa la jokes, lakini si vizuri kumsema marehemu na ujinga kama huu, just imagine angekua ni mama yako mdogo au shangazi yako then unakuja kwenye jukwaa ili then unakuta maneno kama uliyoandika? :ban:
ushishangae siku hizi kuna kundi la wajinga limejas kwenye jf badala ya kuzungumzia hoja huletwa upuuzi
Dahh! Kudadadeki! Walisema kweli jamani Nyani haoni kundule! Fred Katulanda ulivyo na bichwa mchongoko unawacheka wasira na pinda? Thiery Henry aka CHogo anasingiziwa> Relax! Ukiwa nyumba ya vioo usiwatupie mawe waliopo nje.Samahani nimekuibia siriya Usalama wa Taifa, Eti Bi Kidude ameacha watoto wawili tu, Pinda na Wasira!! tafadhari usimwambie mtu. Watakung'oa kucha bila ganzi.