Cheka taratibu hii ni siri ya Taifa

Cheka taratibu hii ni siri ya Taifa

Fred Katulanda

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Posts
380
Reaction score
550
Samahani nimekuibia siriya Usalama wa Taifa, Eti Bi Kidude ameacha watoto wawili tu, Pinda na Wasira!! tafadhari usimwambie mtu. Watakung'oa kucha bila ganzi.
 
japo ni jukwaa la jokes, lakini si vizuri kumsema marehemu na ujinga kama huu, just imagine angekua ni mama yako mdogo au shangazi yako then unakuja kwenye jukwaa ili then unakuta maneno kama uliyoandika? :ban:
 
It can be. Maana walikuwa wanafananas sana. Baba yako atakuwa alikuwa mzee Lemmy Ongala.
 
japo ni jukwaa la jokes, lakini si vizuri kumsema marehemu na ujinga kama huu, just imagine angekua ni mama yako mdogo au shangazi yako then unakuja kwenye jukwaa ili then unakuta maneno kama uliyoandika? :ban:

ushishangae siku hizi kuna kundi la wajinga limejas kwenye jf badala ya kuzungumzia hoja huletwa upuuzi
 
japo ni jukwaa la jokes, lakini si vizuri kumsema marehemu na ujinga kama huu, just imagine angekua ni mama yako mdogo au shangazi yako then unakuja kwenye jukwaa ili then unakuta maneno kama uliyoandika? :ban:
hiyo nomaa
 
je angewaibukia hao watoto mheshimiwa wasira si wangezirai
 
Hukufanya uungwana
Hiyo sio jokey ni matusi kwa familia wa Bikidude
 
Nadhani hajui km jokes some timez zagusa hisia za watu?thats why watu wanacheka,kwani hujui km kuna utani ht msibani?acha ushamba wako, wewe km hujafurahishwa wengine mbavu hatuna!!wacha tupunguze stress siku ya walala hoi duniani leo,maana wafanyakazi ni kikwete na wenzie.
 
Ngoja tukutafute

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hayo ni matusi siyo tena jokes dhidi ya PM,mzee wa "wakuchinja ni wa......." na familia ya bi kidude.
'Serukamba you'
 
hili ni jukwaa la jokes kama unataka hoja kwanini ufumgue hapa? usituzingue hapa hatuna hoja
 
Samahani nimekuibia siriya Usalama wa Taifa, Eti Bi Kidude ameacha watoto wawili tu, Pinda na Wasira!! tafadhari usimwambie mtu. Watakung'oa kucha bila ganzi.
Dahh! Kudadadeki! Walisema kweli jamani Nyani haoni kundule! Fred Katulanda ulivyo na bichwa mchongoko unawacheka wasira na pinda? Thiery Henry aka CHogo anasingiziwa> Relax! Ukiwa nyumba ya vioo usiwatupie mawe waliopo nje.
 
Heeee! Ila km kuna mtu ana chogo Thierry Henry kasingiziwa basi huyo nikiboko ya bongo, teh!! teh!! teh!!
 
Back
Top Bottom