Cheki dictionary ya mapenzi hiyo!!

Cheki dictionary ya mapenzi hiyo!!

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Honey-kimeo
dear-wa kuzugia
sweet-mshamba
my love-zezeta
baby-mjinga
endless-malaya
darling-*****
husband-buzi.
Jicheki uko upande gani hapo!
 
Du, eti Mimi ni Honey. Kumbe Siku zote anakazana kuniita honey , honey kumbe alikuwa anamanisha kwamba mimi ni kimeo!!!!!.Shit. Ngoja arudi, akiniita "honey , naua mtu.
 
Du hii nimeipenda kuna jambo nimejifunza mambo mengi sasa ni kuwa makin na kufuatilia kwa umakin nahis kuna jambo la muhimu
 
Mie huwa naitwa honey,my love,dear,sweet kumbe ndo huwa anamaanisha hivyo..,leo akiniita hivyo ni ugomvi hadi ataconfess.
 
Mie huwa naitwa honey,my love,dear,sweet ,baby kumbe ndo huwa anamaanisha hivyo..,leo akiniita hivyo ni ugomvi hadi ataconfess.
 
nimejikuta nacheka bila bure bure.. platozoom n senetor asante kw kuniongezea maisha:israel:
 
Khaaa! Hii dictionary ya wapi?mbona kama danganya toto?
 
Mie hapo simo, Wife huwa ananiita baba Ngina................
 
Wee Senetor, usitake kugombanisha wapenzi weweee....Sitaki kuamini hiyo dictionary yako mpya... Naamini ninachokiamini.!
 
Hii Dictionary tupa kuleeeeee..!!.
 
Honey-kimeo
dear-wa kuzugia
sweet-mshamba
my love-zezeta
baby-mjinga
endless-malaya
darling-*****
husband-buzi.
Jicheki uko upande gani hapo!

Duh! hahahahah lol!
 
Kama inaaply both ways ni sawa, yaani kwa mvulana na msichana.
Lakini hii pia ni kwa mujibu wa copyright ya Senator, mwingine anaweza kuyapa maana nyingine maneno hayo.
 
Back
Top Bottom