Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Kwani uongo?Hamkawii kusema Everton wamekuja nchini kuunga mkono juhudi za Magufuli kupambana na ufisadi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani uongo?Hamkawii kusema Everton wamekuja nchini kuunga mkono juhudi za Magufuli kupambana na ufisadi.
Internet imeanzishwa na Wizara ya Ulinzi ya Marekani, nchi ya majority wazungu.Internet haijaletwa na Muzungu pekee, bali ni kazi ya Binadamu wengi wa Dunia hii, kila mtu ana mchango wake!
Internet imeanzishwa na Wizara ya Ulinzi ya Marekani, nchi ya majority wazungu.
Ukitaka kusema internet haijaletwa na wazungu pekee, na mimi naweza kukuambia Everton si ya wazungu pekee.
Hapo ndipo utaona hoja yako ya kuwakataa Everton kwa sababu ni wazungu inapopata kuonekana kuwa ni ya kijinga.
Naweza kusema the same kuhusu Everton kwamba umeona matokeo tu,kabla ya matokeo kuna wengi wa mataifa mbalimbali walishiriki.Siyo kweli, wewe unaongelea matokeo tu kwamba umeona internet lkn kabla ya hapo kuna kazi kubwa imefanyika ili kuweza kufikia hapo, na kazi hii imefanywa na wengi tu, kuanzia Wachina, Waarabu hata sisi Waafrika na Wayahudi tuna michango yetu pia, ...
mwenye picha ya muhenga aliyesema "nyani haoni kundule" naomba aweke hapaC utulie uandike vzr kwan
Unakimbilia wap
[Color= darkorange]Triple A[/color]
Kiingilia?kiingilia bei gani?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Huyo mtangazaji angekaa kimya tu akaacha kelele za ndege na upepo ingependeza zaidi.
Ni muda sasa umepita toka taarifa za kikosi cha kwanza cha Everton kutua Dar tayari kukipiga na Gor Mahiya kutoka Kenya kwenye Mechi ya kirafiki itakayofanyika kesho alhamisi tarehe 13/07/2017.
Mpaka sasa tayari kikosi hicho cha Everton kimeshatua jijini Dar na mchezaji mwenye mvuto zaidi ulimwenguni Wayne Rooney.
Kwa upande wake Gor Mahiya ya Kenya ilitua jana Jumanne. Ni mtanange ambao utakuwa wa aina yake utakaochezwa katika uwanja wa taifa wa Dar es Salaam.
Kuonyesha umuhimu wa ujio huu, waziri wa habari sanaa, utamaduni na michezo Dr Harison Mwakiembe amefika uwanja wa ndege JKNI kuwapokea Everton.
View attachment 540183
Wayne Rooney akisalimiana na Dr mwakiembe
HahahahahahahahahaC utulie uandike vzr kwan
Unakimbilia wap
[Color= yellow]Triple A[/color]
Mkuu mbona kama ziwa lako la kushoto ni Kubwa kuliko la Julia?Wadada wa mjini jipitisheni basi tupate mashemeji wa kujenga apartments Masaki
HahahahahaMan Utd naona mmehamia Everton na Roneey kama mlivyohamia Madrid na Ronaldo
Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app